Elections 2010 Dr. Slaa, Mpendazoe Kunguruma Tabata - Liwiti Jumapili Nov 14

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
10,827
Reaction score
4,176
Aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Willibrod Peter Slaa pamoja na aliyekuwa mgombea ubunge wa Segerea Fredy Mpendazoe watanguruma siku ya Jumapili katika viwanja vya shule ya Msingi Liwiti iliyoko Tabata.

Watu wote munakaribishwa sana.
 
Rais wa WATU wa Tanzania Dr. Wilbroad Peter Slaa pamoja na Mbunge wa WATU wa Segerea Fredy Mpendazoe watanguruma siku ya Jumapili katika viwanja vya shule ya Msingi Liwiti iliyoko Tabata.

Watu wote munakaribishwa sana.

Nimekusahihisha kidogo Mkuu.

Source?
 
Ruksa amepata maana hawa jamaa wameshachukua nchi! Usije ukashangaa:hippie:
 
Teh teh teh!!!!! Umenifurahisha mkuu!
 
ngoja, tusikie dr wa ukweli atasema nini
 
Ninahisi machozi yatanitoka nikimuona dr na fred pamoja. Tujitokeze kwa wingi siku ya tukio na tuwape moyo
 
go dr slaa go mpendazoe we are together comrades!
 
Tupo pamoja..naitaji kumsikia rais wangu atasemaje...... go slaa go..:hippie:.

CHADEMA VEMA:yield:
 
Nadhani hapo zengwe litatengenezwa na ccm hadi kisieleweke.
 
Dr. Slaa will always ataendelea kuwa chaguo la watanzania na huyo mwizi wa kura hapo Ikulu ataendelea kuwa paka shume tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…