Mbona viongozi wa chadema wapo kimya kuhusu uchaguzi uliopita hii inatufanya sisi watu tunaofatilia maswala ya siasa tuone kwamba ccm hawakuvuvuzela matokeo yoyote na ushindi wao ulikua makini tu,kwa viongozi kutoa tamko rasmi kuhusu uchaguzi itatusaidia kuanza kujipanga upya miaka mitano na kupata kiongozi wa upinzani kwani nia rahisi sana kupata kura milioni tano na kuchukua uongozi kambi ya upinzani.jambojingine muhimu wana Jf tuache ushabiki usio na maana,dharau na udini. wengi wenu mnapenda sana kudharau dini za watu wengine,kuona chadema ndio chama pekee cha upinzani na viongozi wa vyama vingine wote si chochote,mfano tangu mwaka 1995 cuf wamekuwa wakishinda zanzibar na kunyimwa ushindi sisi wana tunaona si tatizo letu sasa cuf wameona watu bodo siasa zipo mbali ni bora kutia mikataba na kungana pamoja na ccm ili kuongoza pamoja,mnanza kuwaona kama wasaliti.ni matumaini yangu Cuf na Chadema wataungana na kusimamisha rais mmoja .