Chadema ninawaheshimu na kuwaombea kwa Mungu mzidi kuimarisha pipos pawas!!!!!!!!!!!!!!. Igeni mbinu aliyotumia Mwalimu Nyerere baada ya uhuru yeye mwenyewe alivua kofia ya uwaziri mkuu kama hatua muhimu kujenga msingi kwa kuanzia chini grassroot, kutoa elimu ya kile alidai na kupata(uhuru)-kuelimisha maana na malengo, na maadui wake na jinsi ya kufikia malengo baada ya kuelewa. Mwalimu aliwekeza BILA KUCHELEWA kwenye pipos pawa!!!!!!!!!!
CDM mmeanza vizuri sana; matukio ya Nyamagana, Kawe, Ubungo, Arusha, Mbeya, Iringa nk yamethibitisha kwamba mbele ya pipos pawas hakuna nguvu ya ufisadi inayoweza kusimama!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
CDM mna mwanzo mzuri sana:-
1: mmeshuhudia moto mkubwa wa matumaini mliokwisha washa kwa ilani yenu iliyotikisa ulimengu wa wasomi na wasio wasomi katika jamii!!!!!!!!!
2: serekali kivuli katika bunge, yenye wabunge wenye upeo na uwezo mkubwa sana wa kujenga, kuelezea na kushinda kwa nguvu za hoja zenye mwelekeo wa kuondoa kiu ya moto mpya mliowasha- mmeonjesha jamii ya kizazi kipya matumaini mapya kwa mema mengi yaliyo mbele yetu kwa falsafa ya YES WE CAN!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! kwa silaha ya dhamira ya kisiasa-political will!
3: Tumieni sasa nafasi hii ya kipekee kujenga tangu chini kama alivyofanya Mwalimu chama cha "wenyewe" ambacho ndicho sasa kitaendeleza moto ulioanza ili kuleta haraka kupatikana kwa Tume Huru ya Uchaguzi, na hatimaye Katiba Mpya ambazo ndiyo msingi katika ujenzi wa jamii hiyo.!!!!!!!!!!!!. Mkiweza kuwafanya pipos wakaelewa madhara na kuchukia utawala unaotumia ujinga wa jamii kama mtaji wa kuendelea kuimarisha na kudumisha utawala wa kifiasadi ambao hatima yake ni ujenzi wa jamii iliyozama katika ujinga, maradhi na umaskini-mafisadi hutumia matrilion na mbinu chafu kuingia madarakani, kufuatiwa na uporaji mwingi wa raslimali za nchi kurudisha matriliono yaliyotumika na kuanza kukusanya matrilioni za kuingia awamu zinazofuata- hivyo bila kuandaa jamii iliyoelewa na kuwa tayari kuendeleza pawa sawa sawa na yaliyowezekana Nyamagana!!, Arusha!!, Mbeya!!, Kawe!!, Ubungo!!, nk. sasa itakuwa ni kila jimbo!!!!!!!!. Mbele ya pipo pawa!!!!! ya walio tayari kudhibiti hizi mbinu uchwala za kupora haki za wanyonge!!!!!!!!!!! hakuna jiwe linaloweza kusimama bila kupinduliwa!!!!!!!!!!!
Make CDM progressive mass party-mmeanza vizuri-msiache moto upoe-twende mbele!!!!!!!!!!! LONG LIVE CHADEMA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Past is history for generating challenges for future strategic moves!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!