Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
- Thread starter
-
- #41
Duh! kila nikisoma hii saini, huwa nacheka sana!
Hivi ulifikiria nini?
Mbona viongozi wa chadema wapo kimya kuhusu uchaguzi uliopita hii inatufanya sisi watu tunaofatilia maswala ya siasa tuone kwamba ccm hawakuvuvuzela matokeo yoyote na ushindi wao ulikua makini tu,kwa viongozi kutoa tamko rasmi kuhusu uchaguzi itatusaidia kuanza kujipanga upya miaka mitano na kupata kiongozi wa upinzani kwani nia rahisi sana kupata kura milioni tano na kuchukua uongozi kambi ya upinzani.jambojingine muhimu wana Jf tuache ushabiki usio na maana,dharau na udini. wengi wenu mnapenda sana kudharau dini za watu wengine,kuona chadema ndio chama pekee cha upinzani na viongozi wa vyama vingine wote si chochote,mfano tangu mwaka 1995 cuf wamekuwa wakishinda zanzibar na kunyimwa ushindi sisi wana tunaona si tatizo letu sasa cuf wameona watu bodo siasa zipo mbali ni bora kutia mikataba na kungana pamoja na ccm ili kuongoza pamoja,mnanza kuwaona kama wasaliti.ni matumaini yangu Cuf na Chadema wataungana na kusimamisha rais mmoja .

wee mwenyewe umechakachuliwa.
Ataongelea mambo yasiyofanyiwa utafiti na kuyaita mabomu.
Hii ndiyo kawaida yake.
Aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Willibrod Peter Slaa pamoja na aliyekuwa mgombea ubunge wa Segerea Fredy Mpendazoe watanguruma siku ya Jumapili katika viwanja vya shule ya Msingi Liwiti iliyoko Tabata.
Watu wote munakaribishwa sana.
Nimekusahihisha kidogo Mkuu.
Source?
Are you sure with the news?siyo tunaenda halafu nothing is there.Kindly be sure and report back to us.Thanks
If that is true then it is speaking loud that they are NOT Maaskofu!Kukawia kunatokana na tabia ya maaskofu ambao nasikia wametumwa tena na JK kwa Slaa kumsihi asizitoe hizo nakala za matokeo (za vituoni na za NEC).
Thank you for that! Tatizo ni kuwa kuna upinzani feki!mkakachuaji 1 ni lazima kama tunataka upinzani wa kweli ni lazima mungano wa wapinzani ufanyike ili tuweze kuiondoa ccm vinginevyo hapa ccm wataendelea kupeta miaka yote
Hizi taarifa sio za kweli hatas kidogo na aliyezitoa anapotosha umma, Dr.Slaa tuko naye huku Dodoma NA MPAKA SASA ANATOA MAFUNZO KWA WABUNGE WAPYA WA CHAMA ,na hatarajii kurejea DSM kesho wala kesho kutwa.