Dr. Slaa na Juliana waliondoka CHADEMA wakiwa bado wanaipenda

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Huu ni ukweli ulio wazi kwamba makamanda hawa wa zamani wa Chadema waliohamia CCM na kupewa shavu lakini bado kila siku wanaiota CHADEMA.

Na ndoto zao huwapeleka kwa Mbowe na Tundu Lisu respectively.

Niseme tu Dr Slaa na Juliana ni wanasiasa wa kweli unajua itikadi ni kama imani ya dini itakufuata popote uendapo na wawili hawa wamedhihirisha hilo.

Ni kama vile upenzi wa Simba na Yanga, hata ukianzisha timu yako itakuwa ni namba mbili kwa kuifeel!

Ni hayo kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
 
Wewe leo umeongea pointi sana. Hilo ndio la kweli fullstop.

Ni sawa mwanamama akiachwa kwenye ndoa ambayo bado anampenda mume, huwa hawaishi maneno hadi kiama! Kila siku kumuongelea jamaa japo kwa ubaya ila hawawezi kukaa dakika 5 bila kumuongelea jamaa.
 
Akili zenu ni za kuvukia bara bara tu,

Dr, mihogo alikuwa Ccm daima mapinduzi daima. Alitoka ccm kuja Chadema ni baada ya jina lake kukatwa na nec ya ccm ndio alipoamua kutafuta sehemu nyingine ya kufanya siasa
Na Chadema walimpa Dr mihogo ukatibu mkuu kwa mkakati maalum.

Yule Dr slaaa alikuwa ni katibu wa baraza la maaskofu Tanzania hivyo alikuwa na ushawishi ndani ya kanisa. Ndio maana Chadema ilijinasibu sana na kanisa ( wakristo

Na sababu kubwa ya Chadema kumtafuta padri slaa ni hii Chama kikubwa cha upinzani CUF kilikuwa kinapigiwa debe na uislam hasa wale wazee wa vipedo na vibagarashia

Chadema ikaona ngoja na wao wahamishe magoli wakajinasibisha na kanisa. Hivi sasa chama tawala baada ya kugundua mbinu ya upinzani.

Upande wa Cuf wakakamatwa masheikh wote wa harakati biashara ya Cuf ikafia hapo
Upande wa Chadema hivi sasa chama tawala imewakamata wachungaji wote wa harakati wapo upande wao wa chama tawala biashara ya Chadema inakwenda kufa 2020 kama unabisha subiri uchaguzi na matokeo yake...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upinzani wa kweli utabaki moyoni
 
Huu ni ukweli ulio wazi kwamba makamanda hawa wa zamani wa Chadema waliohamia CCM na kupewa shavu lakini bado kila siku wanaiota CHADEMA.

Na ndoto zao huwapeleka kwa Mbowe na Tundu Lisu respectively.

Niseme tu Dr Slaa na Juliana ni wanasiasa wa kweli unajua itikadi ni kama imani ya dini itakufuata popote uendapo na wawili hawa wamedhihirisha hilo.

Ni kama vile upenzi wa Simba na Yanga, hata ukianzisha timu yako itakuwa ni namba mbili kwa kuifeel!

Ni hayo kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
Please involve your brain when writing!
 
Yule mwingine aliyekuwa mbunge wa CHADEMA simjui jina alihamia CCM yule anayesungumsa badala ya kuzungumza,naye kahama mwili tu ila nafsi yake inamsuta,pamoja na yule wa kutishiwa kuolewa dada yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Mzee Makamba na Mzee kinana wameondoka ccm wakiwa wameichoka
Huu ni ukweli ulio wazi kwamba makamanda hawa wa zamani wa Chadema waliohamia CCM na kupewa shavu lakini bado kila siku wanaiota CHADEMA.

Na ndoto zao huwapeleka kwa Mbowe na Tundu Lisu respectively.

Niseme tu Dr Slaa na Juliana ni wanasiasa wa kweli unajua itikadi ni kama imani ya dini itakufuata popote uendapo na wawili hawa wamedhihirisha hilo.

Ni kama vile upenzi wa Simba na Yanga, hata ukianzisha timu yako itakuwa ni namba mbili kwa kuifeel!

Ni hayo kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom