Akili zenu ni za kuvukia bara bara tu,
Dr, mihogo alikuwa Ccm daima mapinduzi daima. Alitoka ccm kuja Chadema ni baada ya jina lake kukatwa na nec ya ccm ndio alipoamua kutafuta sehemu nyingine ya kufanya siasa
Na Chadema walimpa Dr mihogo ukatibu mkuu kwa mkakati maalum.
Yule Dr slaaa alikuwa ni katibu wa baraza la maaskofu Tanzania hivyo alikuwa na ushawishi ndani ya kanisa. Ndio maana Chadema ilijinasibu sana na kanisa ( wakristo
Na sababu kubwa ya Chadema kumtafuta padri slaa ni hii Chama kikubwa cha upinzani CUF kilikuwa kinapigiwa debe na uislam hasa wale wazee wa vipedo na vibagarashia
Chadema ikaona ngoja na wao wahamishe magoli wakajinasibisha na kanisa. Hivi sasa chama tawala baada ya kugundua mbinu ya upinzani.
Upande wa Cuf wakakamatwa masheikh wote wa harakati biashara ya Cuf ikafia hapo
Upande wa Chadema hivi sasa chama tawala imewakamata wachungaji wote wa harakati wapo upande wao wa chama tawala biashara ya Chadema inakwenda kufa 2020 kama unabisha subiri uchaguzi na matokeo yake...
Sent using
Jamii Forums mobile app