Dr. Slaa na Juliana waliondoka CHADEMA wakiwa bado wanaipenda

Juliana Shonza anaumizwa sana na tukio la Ben Saanane. Kumbuka kuwa Ben alikuwa nani kwake!
 
Yalikuwa mafiga matatu yatimie ili kitimoto iinjikwe kwenye nyungu iive.. ILIWE na nYuMa...mawili yako wapi? Ukiugusa mkafiri lazima unuke janaba....
Nani amekudanganya kuwa wameondoka?

Msamaha wa Nape Nauye uliwahusu " wote " alioongea nao bwashee!

Jr[emoji769]
 
Yalikuwa mafiga matatu yatimie ili kitimoto iinjikwe kwenye nyungu iive.. ILIWE na nYuMa...mawili yako wapi? Ukiugusa mkafiri lazima unuke janaba....

Jr[emoji769]
Mangula alihitaji kuongea na mseminari Ben Camilius.........hao akina Kinana na Makamba kuongea nao hakuhitaji vikao ni kama vile Mbowe anapohitaji kuteta mambo ya kichama na mzee Edwin Mtei kikao cha nini?!
 
Tunaitunza hii usije uka ikana baadae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji848][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]angalia Jo sio kila chombo ni cha kupindua.. Vingine vina mafuta ya kupakwa
Mangula alihitaji kuongea na mseminari Ben Camilius.........hao akina Kinana na Makamba kuongea nao hakuhitaji vikao ni kama vile Mbowe anapohitaji kuteta mambo ya kichama na mzee Edwin Mtei kikao cha nini?!

Jr[emoji769]
 
Mkuu naona unajipa moyo,yawezekana unaijua kesho kuliko Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama upo under 18 /21
Pindi Cuf ni chama kikuu cha upinzani ulikuwa unakunya nje
Leo umeikuta CDM na yenyewe inapumulia mipira
Ww utabaki na mtazamo wako wa CDM Inapendwa sana na wananchi
Kitakacho kukatisha tamaa na kujiweka pembeni katika siasa za Bongo ni matokeo ya uchaguzi
Ccm uwa wanachinjia nyuma ya shingo
Mwisho wa siku ndio utajua kuwa siasa inakupotezea muda wako wa kutafuta pesa na maisha, leo Cuf imekufa baada ya wafuasi wake kukata tamaa CCM NI NUKSI wanajua mbinu za ushindi wakati huo wapinzani wanajua kupiga kelele kama chura..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…