Dr. Slaa na Mpenzi wake kubariki ndoa nchini Canada

Sasa chadema inahusiana mini na Dr slaa akili za kuambiwa changanya na zako
 
Aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbroad Slaa na Josephine Mushumbusi kubariki ndoa nchini Canada kabla ya sikukuu ya Pasaka itakayoadhimishwa mwishoni mwa mwezi wa tatu.

Chanzo: Gazeti

Kuwa muwazi, chanzo gazeti gani?
 
Haya mambo ya kusema chanzo gazeti halafu hutaji gazeti gani ni upuuzi mtupu
 
Uwongo mtupu, kipa imara imeandikwa wapi ktk Biblia? Hizo ni kama sanamu tu ambazo mbele ya Mungu ni machukizo tu.
Unajua maana ya kipaimara? Ni yepi yaliyo chukizo kwa Mungu? Usimwekee Mungu sheria za kuhukumia! Hata hivyo huu si mjadala wa kidini! Nimekujibu tu kwa kuwa mjinga!
 
Anna tumbua zile bilions alizipewa kipind cha kampeni,na interahamwe ..
 
Itakuwa amepata mahari baada ya interahamwe kumpa kipind kile cha kampeni.....
 
Kwani umeambiwa upadre ni useja?
 
Hata Dr. Mengi alifanyia shuhuli yake nje ya nchi,nadhani Mauritius,sijui wanakiwa na sababu za msingi!
 
Hivi kumbe wewe ni kilaza namna hii?
Sasa suala la kubariki ndoa kwa hao wazinifu kunatuhusu nini Chadema?
Hadi isiwe habari nzuri?
Shindana na mpumbavu utaishia kuwa kama yeye...achana naye huyo.
 
Slaa anajifurahisha tu huyo ni make wa MTU...labda Dada
Kamllazimisha kama ilivyo kawaida yake
 
Hujui uongeacho. Kuna wengi tu walioacha updari na wako kwenye ndoa
 
Kwamba wewe ndo unaujua sana ukatoliki kuliko Wilbrod Slaa?? Hizi ni ishu binafsi mwacheni awe huru kujiamulia. Mungu ndiye ajuae usafi wake na uchafu wake.
 
Slaa anajifurahisha tu huyo ni make wa MTU...labda Dada
Kamllazimisha kama ilivyo kawaida yake
Mpe dada yako au hata mama yako kama hajaolewa....acheni ujinga wa kujadili mambo binafsi ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…