Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali wamalize huu uchumba sugu!
Hahahahaaa mmenifurahisha sana.Kanada sijui wataishije na hakuna na mihogo.
Aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbroad Slaa na Josephine Mushumbusi kubariki ndoa nchini Canada kabla ya sikukuu ya Pasaka itakayoadhimishwa mwishoni mwa mwezi wa tatu.
Chanzo: Gazeti
Kuna supermarket watapata miogo ya kutosha exported from NigeriaKanada sijui wataishije na hakuna na mihogo.
Itakuwa inatambuliwa huko Canada, akija huku ni mwendo wa kesi[/QUO
hiyo kali akija bongo ni mwendo wa kesi tu hahahahahahaha
Unajua maana ya kipaimara? Ni yepi yaliyo chukizo kwa Mungu? Usimwekee Mungu sheria za kuhukumia! Hata hivyo huu si mjadala wa kidini! Nimekujibu tu kwa kuwa mjinga!Uwongo mtupu, kipa imara imeandikwa wapi ktk Biblia? Hizo ni kama sanamu tu ambazo mbele ya Mungu ni machukizo tu.
Litakuwa lile lile lililozusha nyumba ya Slaa imeuzwaHaya mambo ya kusema chanzo gazeti halafu hutaji gazeti gani ni upuuzi mtupu
Kwani umeambiwa upadre ni useja?Kwa mjibu wa kanisa katoliki la Roma Dr. Slaa hawezi kubariki wala kufunga ndoa kwa sababu zifuatazo:-
1. Kuna sacramenti saba ambazo ni:
1. Ubatizo
2. Kipaimara
3.Ekarist takatifu
4.upadri
5. Mpako wa mwisho
6.
7. Ndoa
Dr. SLaa alikura sacrament ya nne ambayo ni upadri, ukiisha kura sacrament hiyo, sacrament ya saba ambao ni ndoa siyo halali. Kwa hiyo Dr. Slaa hawezi kufunga ndoa sehemu yoyote ndani ya kanisa katoliki.
Kwani sheria za halmashauri, na zile za idara mbalimbali zipo kwenye Katiba?Hizo sakrament ni mafundisho potofu yasiyokuwepo kwenye Biblia takatifu, dr yuko huru
Shindana na mpumbavu utaishia kuwa kama yeye...achana naye huyo.Hivi kumbe wewe ni kilaza namna hii?
Sasa suala la kubariki ndoa kwa hao wazinifu kunatuhusu nini Chadema?
Hadi isiwe habari nzuri?
Hujui uongeacho. Kuna wengi tu walioacha updari na wako kwenye ndoaKwa mjibu wa kanisa katoliki la Roma Dr. Slaa hawezi kubariki wala kufunga ndoa kwa sababu zifuatazo:-
1. Kuna sacramenti saba ambazo ni:
1. Ubatizo
2. Kipaimara
3.Ekarist takatifu
4.upadri
5. Mpako wa mwisho
6.
7. Ndoa
Dr. SLaa alikura sacrament ya nne ambayo ni upadri, ukiisha kura sacrament hiyo, sacrament ya saba ambao ni ndoa siyo halali. Kwa hiyo Dr. Slaa hawezi kufunga ndoa sehemu yoyote ndani ya kanisa katoliki.
Kwamba wewe ndo unaujua sana ukatoliki kuliko Wilbrod Slaa?? Hizi ni ishu binafsi mwacheni awe huru kujiamulia. Mungu ndiye ajuae usafi wake na uchafu wake.Kwa mjibu wa kanisa katoliki la Roma Dr. Slaa hawezi kubariki wala kufunga ndoa kwa sababu zifuatazo:-
1. Kuna sacramenti saba ambazo ni:
1. Ubatizo
2. Kipaimara
3.Ekarist takatifu
4.upadri
5. Mpako wa mwisho
6.
7. Ndoa
Dr. SLaa alikura sacrament ya nne ambayo ni upadri, ukiisha kura sacrament hiyo, sacrament ya saba ambao ni ndoa siyo halali. Kwa hiyo Dr. Slaa hawezi kufunga ndoa sehemu yoyote ndani ya kanisa katoliki.
Mpe dada yako au hata mama yako kama hajaolewa....acheni ujinga wa kujadili mambo binafsi ya watuSlaa anajifurahisha tu huyo ni make wa MTU...labda Dada
Kamllazimisha kama ilivyo kawaida yake