Kwa mjibu wa kanisa katoliki la Roma Dr. Slaa hawezi kubariki wala kufunga ndoa kwa sababu zifuatazo:-
1. Kuna sacramenti saba ambazo ni:
1. Ubatizo
2. Kipaimara
3.Ekarist takatifu
4.upadri
5. Mpako wa mwisho
6.
7. Ndoa
Dr. SLaa alikura sacrament ya nne ambayo ni upadri, ukiisha kura sacrament hiyo, sacrament ya saba ambao ni ndoa siyo halali. Kwa hiyo Dr. Slaa hawezi kufunga ndoa sehemu yoyote ndani ya kanisa katoliki.