MawazoMatatu
JF-Expert Member
- Sep 6, 2008
- 505
- 63
Huyu mzee ameshashinda... :eyeroll2:
Akamate mafisadi kwanza....Akishika Slaa waanze kutaifisha nyumba ya Msoga:lol:
Wanajamii Dr. Slaa ametuomba tusambaze hii mp3
View attachment 13557
Mnaweza kurekodi hii kwa simu zenu na kuwapatia rafiki zenu au kutuma kwa simu. Asante MM kwa jitihada zako: http://www.box.net/shared/ln73fxu780
Nawauliza Chadema vipi mutaleta mabadiliko Tanzania ikiwa mumesimamisha wagombea wa ubunge wasiozidi mia moja ?
wakati wabunge wote wa tanzania wanazidi 250 ?
.
Nawauliza Chadema vipi mutaleta mabadiliko Tanzania ikiwa mumesimamisha wagombea wa ubunge wasiozidi mia moja ?
wakati wabunge wote wa tanzania wanazidi 250 ?
Mageuzi hayo ni ukulu tu kuna bishara gani Ikulu ?
ningemshauri DR Slaa kuwapigia kampeni wagombea wengine wa upinzani kampeni kwenye majimbo anayotembelea ambayo CHADEMA hawakusimamisha wabunge hapa nitamuona Slaa kweli anataka mageuzi ya Kweli.
wewe nani amekutuma? kwa taarifa yako chadema imesimamisha wagombea ubunge 172, na wengine waliowekewa mapingamizi na ccm tume imewaruhusu waendelee mfano nyamagana, kwa hiyo chadema ina wagombea at least 172, katika bunge lilopita kulikuwa na majimbo ya uchaguzi 232, kwa hiyo baada ya tume kuongeza majimbo 7 mwaka huu, hivyo jumla ya majimbo ni 239, sasa ukichukua 172 kwa 239 utaona kwamba angalau imesimamisha wagombea ubunge kwa asilimia 72. hata hivo hiyo imechangiwa na hujuma zilizofanywa na wasimamizi majimboni ya kuwanyima fomu wagombea wa chadema na mara nyingine kuwaengua bila sababu za msingi, pia imechangiwa na ccm kuwarubuni baadhi ya wagombea kwa rushwa kama kule musoma vijijini kwa nimrod mkono pamoja na singida(kaskazini?). Vipi upo hapoNawauliza Chadema vipi mutaleta mabadiliko Tanzania ikiwa mumesimamisha wagombea wa ubunge wasiozidi mia moja ?
wakati wabunge wote wa tanzania wanazidi 250 ?
Mageuzi hayo ni ukulu tu kuna bishara gani Ikulu ?
ningemshauri DR Slaa kuwapigia kampeni wagombea wengine wa upinzani kampeni kwenye majimbo anayotembelea ambayo CHADEMA hawakusimamisha wabunge hapa nitamuona Slaa kweli anataka mageuzi ya Kweli.
Mmmh Mwanakijiji.
Hapa umemaliza, CHADEMA wangepata TV ya kuweka hii ad si ajabu Makamba angepatwa na pepofisi na si pepopunda.
wewe nani amekutuma? kwa taarifa yako chadema imesimamisha wagombea ubunge 172, na wengine waliowekewa mapingamizi na ccm tume imewaruhusu waendelee mfano nyamagana, kwa hiyo chadema ina wagombea at least 172, katika bunge lilopita kulikuwa na majimbo ya uchaguzi 232, kwa hiyo baada ya tume kuongeza majimbo 7 mwaka huu, hivyo jumla ya majimbo ni 239, sasa ukichukua 172 kwa 239 utaona kwamba angalau imesimamisha wagombea ubunge kwa asilimia 72. hata hivo hiyo imechangiwa na hujuma zilizofanywa na wasimamizi majimboni ya kuwanyima fomu wagombea wa chadema na mara nyingine kuwaengua bila sababu za msingi, pia imechangiwa na ccm kuwarubuni baadhi ya wagombea kwa rushwa kama kule musoma vijijini kwa nimrod mkono pamoja na singida(kaskazini?). Vipi upo hapo
Kazi nzuri MMJ, hata kama kamba yako ni fupi lakini ulifanyalo linaonekana na ni uzalendo ulitukuka. Kila mtu akifanya lililo ktk uwezo wake hakika hakuna litakaloshindikana hata ije dhoruba ya aina gani. Thanx mkuuNimefurahia mapendekezo ya wadau mbalimbali.. tatizo tulilonalo ni lile lile.. we have to work with what we got online.. ila kuna watu mapro- wanafanyia kazi the real deal... so natumaini wakikamilisha kutakuwa na matangazo mazuri tu. Tungekuwa na clips nzuri na za uhakika we could have used those.. lakini mbuzi hula kamba inapofika.
Vile vile ni vema picha zitakazo onyeshwa ziwe zile za kuonyesha hali halisi ya umasikini uliopo sasa. Nyumba mbovu za walimu,wanafunzi wanaokaa chini wakisoma, hali ya mahospitalini kulala chini au wagonjwa watatu kitanda kimoja,uozo wa mabehewa TRL nk ili kuwaonyesha watanzania tofauti ya maisha yao na yale kama ya majengo wanaojengewa vigogo wa BOT, magari ya kifahari ya viongozi na vitu kama hivyo.Nimefurahia mapendekezo ya wadau mbalimbali.. tatizo tulilonalo ni lile lile.. we have to work with what we got online.. ila kuna watu mapro- wanafanyia kazi the real deal... so natumaini wakikamilisha kutakuwa na matangazo mazuri tu. Tungekuwa na clips nzuri na za uhakika we could have used those.. lakini mbuzi hula kamba inapofika.
Nimefurahia mapendekezo ya wadau mbalimbali.. tatizo tulilonalo ni lile lile.. we have to work with what we got online.. ila kuna watu mapro- wanafanyia kazi the real deal... so natumaini wakikamilisha kutakuwa na matangazo mazuri tu. Tungekuwa na clips nzuri na za uhakika we could have used those.. lakini mbuzi hula kamba inapofika.