Dr. Sulle unatudanganya sana hapa waislam na raia kwa ujumla

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
29,020
Reaction score
40,848
Asalaam Aleykhum Warahmatullah wabarakatul

Sheikh wangu Dr. Sulle unatudanganya sana na kupotezea Waislam mwelekeo wa kupata Elimu sahihi hasa ILMU DUN'YA

Umesema kuwa jina la jiji kubwa Marekani LOS ANGELES limetokana na neno LOST ANGELS ndio maana kunq madhambi sana Marekani, kitu ambacho ni UONGO MKUBWA

Neno LOS ANGELES ni neno lenye asili ya kihispaniola (Spanish Origin) likimaanisha The Angels yaani Los =The na Angeles = Angels

Kama ilivyo:
LOS CHICOS = THE BOYS
LOS CHICAS = THE GIRLS

PIA, unatuambia kuwa kuna kimondo chenye kilometer 15 🤣🤣🤣 Daah unajua kuwa kilometer moja ni hapa na wapi?

Wakati ile bado ile HOBA METEORITE ya NAMIBIA ndio kubwa zaidi mpaka leo na haijawahi kutokea nyingine

Zaidi unaeleza kwa ujasiri na kwa sauti kubwa kuwa kuwa vimondo vinaanguka kutoka katika Ozone Layer...kweli Sheikh?? Kwa mechanism ipi? Mshana Jr luambo makiadi Mohamed Said mmemsikiliza Sheikh?

View: https://x.com/EduTalkTz/status/1905647314498113952?t=IRvhC0oKJfAhNFUszsOq0Q&s=19
 
Hapa umma ndo uelewe una danganywa mengi sana. Na wanayabeba hivyo hivyo bila kuchanganyana na akili zao. Huyu dogo ni muongo muongo sana.
 
DJ naomba usiweke Ile nyimbo ya "hili limeniumiza sana"
Nitalia😭😭😭
 
Mi naye ni kama sheikh tu, sikujua kuwa LOS ANGELES ni THE ANGELS. Mi nilitwanga ni LOST ANGELS kama Sule, sijui Kihispania hata neno moja
 
Back
Top Bottom