Hizi Lugha za English na French ni Lugha za mawasiliano hapa hapa ya Mtu na Mtu.Mfano wwngi tumefika shule tumekutana na english na tumepambana nayo, kuna wengine walijifunza french ili kufata fursa za scholarship za kusoma ufaransa
Hapana ila ndo utaratibu uliowekwa na yeye kupitia kwa Mtume muhammad (s.a.w)Mkuu, kwa hiyo huo mwito wa mwazana ni wa lugha ya Allah?
Lazima uwe gaidi la sivyo ni Fake muslim purely Muslim lazima awe na chuki,muongo,roho ya uuaji, mnafiki.. na mambo yote yanayohusiana na dhambi, Shahada tu ni kuwa shahidi wa Uongo eti hakuna Mungu ila kuna Allah na mudy ndio mtume wa mwisho uongo mtupu.. na vyote hivi vina Aya za Allah ameamrisha waislam wafuate. Ikiwemo kuchukia na kuwaua wayahudiKumbe ni vikundi tu?
Wale ambao nchi nzima ni magaidi ambazo sio Waislam, unawaongeleaje?
Huna haya, liongo likubwaInapaswa dunia nzima ielewe,ukiachana na hiyo uislamu ndio dini inayoeneza chuki na uadui dhidi ya watu wasio waumini wa dini hiyo,na ndio dini yenye vikundi vingi vya kigaidi na magaidi.
😂😂
Wakristo hupinga ushoga hapa jamvini, lakini wakimaliza wanaenda kumuita Yesu bwana wao.
Pamoja na kwamba uislamu ni dini ya hovyo, ila wakristu nao wana 'u-hovyo' wao maalum.
African spirituality is centered on a variety of beliefs, including:Naomba nijuwe hiyo dini ya kuabudu minimum yetu iko wapi nikajiunge haraka. Afadhari watu weusi wemeaza kuamuka. Hivi watu weusi hawajiulizi kwanini nchi zilizo kuwa vinara wa biashara ya utumwa ndio vinara wa kueneza dini zao?
Duh! Haya maneno yapo kwenye Quran!!!Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; behead them when you catch them – 47.4”
Mkuu, akikujibu nitagInasemekana hata kwenye Quruan huo mwito haupo hivi ni kweli?!
Wewe ni kichaa wa akili, jambo usilolijua kaa kimya, kamwe usiliongolee, una shindwa kulezea umma jinsi kiboko ya wachawi na wenzake walicho wafanyia wewe kazi ku utukana uislamu,Fake muslim purely Muslim lazima awe na chuki,muongo,roho ya uuaji, mnafiki.. na mambo yote yanayohusiana na dhambi, Shahada tu ni kuwa shahidi wa Uongo eti hakuna Mungu ila kuna Allah na mudy ndio mtume wa mwisho uongo mtupu..
Takbiir= yanafikirisha.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?.
Mhhhhhh,kweli mkanganyiko huooo,njooni mjibu hojaTueleze mkanganyiko huu katika quran UTATA KATIKA QURAN Siku moja ni ya muda gani kwa mujibu wa Mwenyezi Mungu? a. Siku 1 ni sawa na miaka 1000 (22:47) b. Siku 1 ni sawa na miaka 50,000 (70:4) 2. Mwenyezi Mungu alichukua muda gani kuumba ardhi? a. Siku 6 (7:45, 10:3, 11:7, 25:59) b. Siku 8 ( 41:9-12 ) 3. Je, mbinguni ni kongwe au dunia ni ya zamani? Ni ipi iliundwa kwanza? a. Dunia iliumbwa kwanza (2:29, 41:9) b. Mbingu iliumbwa kwanza (79:27-30) 4. Wanadamu waliumbwa kutokana na kitu gani? a. Bonge la damu ( 96:1-2 ) b. Maji (21:30) c. Udongo uliochomwa (15:26) d. Vumbi (3:59) e. Hakuna (19:67) f. Dunia ( 11:61 ) g. Tone la maji mazito ( 16:4, 75:37 ) h. Udongo unaonata (37:11)
Hayo yote unasema wewed, hiyo ndiyo inaitwa "Islamophobia".mNi uga wa ujinga ulijazwa nao kuhusu Uislam na Waislam.Lazima uwe gaidi la sivyo ni Fake muslim purely Muslim lazima awe na chuki,muongo,roho ya uuaji, mnafiki.. na mambo yote yanayohusiana na dhambi, Shahada tu ni kuwa shahidi wa Uongo eti hakuna Mungu ila kuna Allah na mudy ndio mtume wa mwisho uongo mtupu.. na vyote hivi vina Aya za Allah ameamrisha waislam wafuate. Ikiwemo kuchukia na kuwaua wayahudi
Mkuu hiyo Aya 13 isemayo "Enyi watu sisi tumewaumbeni.." ebu tujuze hao watu wanao tuumba sisi binadamu ni akina nani?Hana hoja hapo, sababu ameongea uongo tena kwa ujinga wake.
Kwanza Uislamu ndio dini pekee ambayo imekuja kuondoa ubaguzi, na kuonyesha ya kuwa mbora mbele ya Allah ni mchamungu.
Anasema Allah aliye juu :
13. Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari.
(al-Hujurati : 13)
Hapo hakuna cha uarabu Wala uafrika.
Kingine ama kuhusu lugha, lazima iwe Kiarabu ili kuleta usawa na kuwaleta watu wote pamoja. Sababu Mtume alikuwa muarabu, na aliletwa akiwa katika jamii ya waarabu, ili wamuelewe kwanza ilibidi itumike lugha ya Kiarabu. Ajabu ya Kiarabu Leo hii unakuta muafrika anamfundisha Kiarabu muarabu mwenyewe.
Lakini Uislamu umekuja na msamiati ambao Waarabu walikuwa hawaujui waarabu kabla, bali Sheria na taratibu. Bali Kuna baadhi ya tamaduni ambazo Uislamu ulizichukua kutoka kwa waarabu, sababu ni nzuri na walikuwa wameshastaarabika.
Kadhalika katika Hadithi, Mtume wa Allah, amani ya Allah iwe juu yake anasema :
Abu Huraira reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said, “Verily, Allah does not look at your appearance or wealth, but rather He looks at your hearts and actions.”
Source: Ṣaḥīḥ Muslim 2564
Lakini laiti kama Uislamu ungekuwa ni Uarabu basi waarabu wote wangekuwa Waislamu.
Kingine, lazima utumie lugha ya Kiarabu ili dini ihifadhike na isichafuliwe kutokana na makosa, ndio maana katika sababu zilizopelekea vitabu vingine kuwekewa mikono ya watu ni kuweka lugha zao katika vitabu vyao.
Kwahiyo kwa ufupi tunahitimisha ya kuwa Umar Johnson hakuwahi kuujua Uislamu ajabu akawa anauongelea.
Allahu Akbar.Takbiir
Hiyo yako no "Koran", Soma Qur'an 9:30 ya Kiarabu, Kingereza na Kiswahili:Koran 9;30
"Destroy Jews and Christians."