"?." Unapokosoa wenzio angalia na kwako pia.= yanafikirisha.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"?." Unapokosoa wenzio angalia na kwako pia.= yanafikirisha.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?.
Hiyo yako ni Koran, soma Qur'an kijana ili ujifunze vizuri:Koran 2;191
"Slay the unbelievers wherever you find them."
MKuu wewe ni muislamu kwani? Waislamu suala la lugha wanamaelezo mazuri ya kuelezea hapo. Ni kama wakristo walivo na maelezo mazuri kwenye trinity. Na maelezo ya kila mmoja mwingine anaona haya make senseHizi Lugha za English na French ni Lugha za mawasiliano hapa hapa ya Mtu na Mtu.
Lakini baina ya wewe na MUNGU aliyekuumba ati utumie Kiarabu?!
Je huyo MUNGU ni Mwarabu?!
Kwani mie nyani? Au wewe nyani?"?." Unapokosoa wenzio angalia na kwako pia.
Na bado utasema na kiandika kiswahili ambapo chanzo chake ni kiarabu..ukisema tuu tupo salama au nashukuru ujue hicho ni kiarabu“Huyo tukimkamata kichwa chake halali yetu”,ina maana hazitaki rehma za peponi huyu?72 virgins ulabu etc?
AYatolah tangaza fatwa tu-deal nae huyu kenge.
Hayo maelezo unayoyatoa yamefafanuliwa kwenye kuluwani toleo la ngapi?22:47 ni kweli siku moja kwake yeye ni kama miaka 1000, hio 70;4 anaonyesha kitendo cha kupandisha roho na malaika kwenda kwake kitachukua miaka 50elfu na hapo aanzungumzia wakati ujao sio uliopita au uliopo
10;3 hizo zinazungumzia uumbaji wa mbingu na ardhi kwa pamoja ulichukua siku 6
41:9 hapo nazungumzia ardhi peke yake iliumbwa kwa siku 2 hio bado iko within 6days
2;29 anazungumzia kuumba vilivyomo katika ardhi na sio kuumbwa kwa ardhi
79:27 anafanya Tambo kati ya nyinyi watu kipi na mbingu kipi kigumu kuumba
Mungu ni anaonyesha aina mbali mbalimali alizotumia kumleta binadamu duniani kuanzia kwa Adam aliyemuunda moja kwa moja kwa udogo, Adam akamuumba hawa kwa mbavu changa za Adam akamuumba mtoto wa damu kupitia manii hivyo ni uelewa wako ndio tatizo hapo
Bilifikiri ndo nini wewee?Ooh, bilifikiri utasema Mazayuni.
NETANYAHU AKBARTatizo ni wakristo wengi na wanaoingia katika Uislam wanakosea sehem ndogo tuu wao wanadhani kua muislam inabidi ufuate tamaduni za kiarabu na ubebe kila kitu kinafanywa nao ndio dini hapo utachemka. Uislam una nguzo zake na nguzo za kiimani full stop ukishika hayo huwezi kuyumbishwa na hata huyo mwarabu mwenyewe
Anhaa,kwa hiyo ayatollah ameshatoa tamko jamaa kichwa chake mali yetu tuanze kumsaka vichochoroni?Na bado utasema na kiandika kiswahili ambapo chanzo chake ni kiarabu..ukisema tuu tupo salama au nashukuru ujue hicho ni kiarabu
Dr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi.
Dr. Umar Johnson kasema kuanzia sasa yeye sio Muisilamu tena bali amejiunga na Dini ya Mizimu ya Kiafrika, yaani African Spiritualism.
View: https://youtu.be/2zxXzGX_i-Y?si=vAOjyCo_bS9uLiRS
Je nyie mnaliabudu na kulisujudia Jiwe moja jeusi uarabuni na kulipa uungu. Eti ukiligusa na kulibusu dhambi zako zinasamehewa.Mtu anaeabudu sanamu walilolichonga wenyewe na kulipigia magoti mbele yake au mti unaowezwa kugeuzwa kuni tangu lini akawa na akili?
Kwa akili hizi ndo maana mnawaita matapeli kuwa ni manabii kama kina mwamposa, kiboko ya wachawi mnaishia kutapeliwaJe nyie mnaliabudu na kulisujudia Jiwe moja jeusi uarabuni na kulipa uungu. Eti ukiligusa dhambi zako zinasamehewa.
Na hapo ulipo ulivyo jeusi tii kama tako la iddi Amin eti unaamini ukifa kwenye uislamu utabadilika kuwa liarabu na hilo li sijdah lako kubwa kama chapati pajini ulilolipata kwa kujisugua na msasa.
Nyau de adriz
Sijajibu au sijajibu utakavyo!?Bado hujaj8bu Hoja ya Dr.Umar Johnson.
Wee nae huwa mweupe mno,si kihoja wala upeo/uelewa wa mamboUnajua zamanı black America wengi walidhani kwamba uislam ndio dini ya mtu mweusi/muafrica ila sasa wengi wameshaamka na kushtukia uwongo wa mwarabu
Umeweka vipande vya aya ambavyo havitoi maana halisi iliyo kusudiwa.Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; behead them when you catch them – 47.4”
Ukisoma vizuri mtiririko wa Aya utagundua kua 70:4 inazungumziwa SIKU YA KIAMA hiyo SIKU itakua na urefu huo na 22:47 ni SIKU katika maisha ya AKHERA. So hizo ni SIKU za aina mbili tofauti.Tueleze mkanganyiko huu katika quran UTATA KATIKA QURAN Siku moja ni ya muda gani kwa mujibu wa Mwenyezi Mungu? a. Siku 1 ni sawa na miaka 1000 (22:47) b. Siku 1 ni sawa na miaka 50,000 (70:4) 2. Mwenyezi Mungu alichukua muda gani kuumba ardhi? a. Siku 6 (7:45, 10:3, 11:7, 25:59) b. Siku 8 ( 41:9-12 ) 3. Je, mbinguni ni kongwe au dunia ni ya zamani? Ni ipi iliundwa kwanza? a. Dunia iliumbwa kwanza (2:29, 41:9) b. Mbingu iliumbwa kwanza (79:27-30) 4. Wanadamu waliumbwa kutokana na kitu gani? a. Bonge la damu ( 96:1-2 ) b. Maji (21:30) c. Udongo uliochomwa (15:26) d. Vumbi (3:59) e. Hakuna (19:67) f. Dunia ( 11:61 ) g. Tone la maji mazito ( 16:4, 75:37 ) h. Udongo unaonata (37:11)