Tumesomesha nusu muhula hapahapa na nakala zaidi ya elfu kumi na saba zimeshushwa hapa, pekua hapa jukwaa la historia mkuu, haya nj marudio tu
Mkuu it doesn't cost you a penny kuheshimu binadamu wenzako, Watanzania ni lini tutajifunza kuwa CIVIL?? Nikiangalia alias name yako najua fika umejifunza tangu ukiwa mdogo maadili mema ya kuheshimu binadamu wenzako, unaweza kuwa unatofautiana nao kimsimamo kwenye maeneo fulani fulani lakini hilo alikupi haki ya ku-resort kwenye NAME CALLING!! CHEERS Kyenju.Bibi kikongwe a.k.a mjane, unataka kuolewa na Askofu? Mimi ni Askofu njoo nikuoe usijekufa na msongo.
Wala sio kupata "ilm" ila kuzichambua hekaya. Mimi sio muislam wala mkristo lakini nyumbani kwangu hutakosa msahafu na biblia na ninavisoma sana vitabu hivyo.
Rashid Kawawa alikuwa askofu wa kanisa gani vile?Wanaumia wanapoona kuwa Maaskofu hawamo, kwanini? kizungumkuti.
Aibu.
Kunauwezekano hujitambui hata kinachojadiliwa hapaUmesahau alivyokuja mtoto wa kwanza waNyerere akakukana kuwa hujulikani Msasani wala Mwitongo.
Hahaha! Umeamka? TiGo yangu ni haramu for human consumption! Lol! Shosti nitake radhi.
Rashid Kawawa alikuwa askofu wa kanisa gani vile?
Kunauwezekano hujitambui hata kinachojadiliwa hapa
Kunauwezekano hujitambui hata kinachojadiliwa hapa
Rashid Kawawa alikuwa askofu wa kanisa gani vile?
Wala sio kupata "ilm" ila kuzichambua hekaya. Mimi sio muislam wala mkristo lakini nyumbani kwangu hutakosa msahafu na biblia na ninavisoma sana vitabu hivyo.
Mkuu it doesn't cost you a penny kuheshimu binadamu wenzako, Watanzania ni lini tutajifunza kuwa CIVIL?? Nikiangalia alias name yako najua fika umejifunza tangu ukiwa mdogo maadili mema ya kuheshimu binadamu wenzako, unaweza kuwa unatofautiana nao kimsimamo kwenye maeneo fulani fulani lakini hilo alikupi haki ya ku-resort kwenye NAME CALLING!! CHEERS Kyenju.
Mkuu hapa tunazungumzia wanachama wa TAA kabla ya kuanzishwa TANU i.e before 1954. Rashidi Kawawa alikuja kujitokeza baadae kabisa kutoka kwenye vyama vya wafanyakazi, wala sishangai FireFOX anacho zungumza hapa - nakumbuka nilipo kuwa mtoto mdogo Bibi yangu mzaa Baba ambaye alikuwa ni MKATOLOKI aliwahi kuniambia kwamba ma Padri wa kizungu walikuwa wanawatisha wasijiunge na vyama/vikundi vinavyo pingana na utawala wa kikoloni? Walikwenda mbali zaidi kwa kuwatishia kwamba Wa Komunisiti ni mashetani, watu wa vijijini na elimu yao duni waliamini kwamba Ukomunisiti na (Prince of Darkness) i.e Lucifer walikuwa kitu kimoja, hata mimi niliamini hivyo hivyo!! Swali ni: Kwa nini baadhi ya Mapadri wa kizungu badala ya kueneza neno la BWANA walieneza vitisho kwa waumini wao kama mbinu za kutaka kuchelewesha ukombozi wa taifa letu?Rashid Kawawa alikuwa askofu wa kanisa gani vile?
Wewe mtu huwa unaandika mambo ya ujenzi sana humu JF watu wengi wanafyonza Ilm kupitia kwako.Mkuu hapa tunazungumzia wanachama wa TAA kabla ya kuanzishwa TANU i.e before 1954. Rashidi Kawawa alikuja kujitokeza baadae kabisa kutoka kwenye vyama vya wafanyakazi, wala sishangai FireFOX anacho zungumza hapa - nakumbuka nilipo kuwa mtoto mdogo Bibi yangu mzaa Baba ambaye alikuwa ni MKATOLOKI aliwahi kuniambia kwamba ma Padri wa kizungu walikuwa wanawatisha wasijiunge na vyama/vikundi vinavyo pingana na utawala wa kikoloni? Walikwenda mbali zaidi kwa kuwatishia kwamba Wa Komunisiti ni mashetani, watu wa vijijini na elimu yao duni waliamini kwamba Ukomunisiti na (Prince of Darkness) i.e Lucifer walikuwa kitu kimoja, hata mimi niliamini hivyo hivyo!! Swali ni: Kwa nini baadhi ya Mapadri wa kizungu badala ya kueneza neno la BWANA walieneza vitisho kwa waumini wao kama mbinu za kutaka kuchelewesha ukombozi wa taifa letu?
Bila ya samahani, mkuu wakati mwingine "OTEKOZA BINTU BYO'KUTUSHONAZA" oyefutatilemu kake - ndio hayo mkuu.I am sorry brother, nimetumia brother, pia kama nimekosea, samahani kwa mara nyingine.
Heshima yako mkuu wa NAURU, tuna wajibu wa kuwa wakweli na wawazi ili kunusuru Taifa letu kutokana na propaganda za kizushi zilizo jengeka toka siku nyingi kwa kutumia mbinu mbali mbali - hapa nimewapa mfano hai unao husu ukoo wetu, wala tusijidanganye kwamba mbinu hizi zimekwisha kufa, zipo pale pale kwa stahili nyingine, wala msifikili kelele zote za kupinga madhebu fulani yasijiunge na OIC wakati wenyewe ni member wa World Council of Churchs, CARITAS nk - wanaikalia Serikali kooni eti wasiwe na KADHI wao, mzee wangu aliwahi kuniambai wakati wa ukoloni KADHI ilikuwa luksa, Kenya na Uganda je hawana KADHI? Ninacho taka kusema hapa tuwe makini na mambo ambayo yanaweza kabisa kusambaratisha Taifa letu.Wewe mtu huwa unaandika mambo ya ujenzi sana humu JF watu wengi wanafyonza Ilm kupitia kwako.
Mkuu hapa tunazungumzia wanachama wa TAA kabla ya kuanzishwa TANU i.e before 1954. Rashidi Kawawa alikuja kujitokeza baadae kabisa kutoka kwenye vyama vya wafanyakazi, wala sishangai FireFOX anacho zungumza hapa - nakumbuka nilipo kuwa mtoto mdogo Bibi yangu mzaa Baba ambaye alikuwa ni MKATOLOKI aliwahi kuniambia kwamba ma Padri wa kizungu walikuwa wanawatisha wasijiunge na vyama/vikundi vinavyo pingana na utawala wa kikoloni? Walikwenda mbali zaidi kwa kuwatishia kwamba Wa Komunisiti ni mashetani, watu wa vijijini na elimu yao duni waliamini kwamba Ukomunisiti na (Prince of Darkness) i.e Lucifer walikuwa kitu kimoja, hata mimi niliamini hivyo hivyo!! Swali ni: Kwa nini baadhi ya Mapadri wa kizungu badala ya kueneza neno la BWANA walieneza vitisho kwa waumini wao kama mbinu za kutaka kuchelewesha ukombozi wa taifa letu?
Bila ya samahani, mkuu wakati mwingine "OTEKOZA BINTU BYO'KUTUSHONAZA" oyefutatilemu kake - ndio hayo mkuu.
Jaribu kuepuka "generalization theory", sijui kama unafahamu moja ya safari ya Nyerere kwenda UNO katika harakati za kudai uhuru iligharimiwa na mapadre wa katoliki?Mkuu hapa tunazungumzia wanachama wa TAA kabla ya kuanzishwa TANU i.e before 1954. Rashidi Kawawa alikuja kujitokeza baadae kabisa kutoka kwenye vyama vya wafanyakazi, wala sishangai FireFOX anacho zungumza hapa - nakumbuka nilipo kuwa mtoto mdogo Bibi yangu mzaa Baba ambaye alikuwa ni MKATOLOKI aliwahi kuniambia kwamba ma Padri wa kizungu walikuwa wanawatisha wasijiunge na vyama/vikundi vinavyo pingana na utawala wa kikoloni? Walikwenda mbali zaidi kwa kuwatishia kwamba Wa Komunisiti ni mashetani, watu wa vijijini na elimu yao duni waliamini kwamba Ukomunisiti na (Prince of Darkness) i.e Lucifer walikuwa kitu kimoja, hata mimi niliamini hivyo hivyo!! Swali ni: Kwa nini baadhi ya Mapadri wa kizungu badala ya kueneza neno la BWANA walieneza vitisho kwa waumini wao kama mbinu za kutaka kuchelewesha ukombozi wa taifa letu?