Dr. Vedasto Kyaruzi daktari mpigania uhuru wa Tanganyika

FaizaFoxy, nilichokisema mimi ndicho umekirudia.
Hebu nitajie katika hivyo vitabu ulivyoorodhesha, ni kitabu kipi cha historia, narudia 'cha historia' ambacho hakizungumzii waislamu na au uislamu?

Mohamed Said angejikita tu katika kuandika historia ya uislamu na waislamu Tanganyika tungemuelewa, lakini kulazimisha 'harakati za kupigania uislamu Tanganyika' iwe ndio 'harakati za kupigania uhuru Tanganyika' tunashindwa kumuelewa.

Mjuni Lwambo,
Amini unavyopenda hakuna wa kukuzuia wewe ni mtu huru mwenye fikra
na mawazo yako.

Kama nilivyo mimi huru kwa fikra na mawazo yangu.

Kitabu changu nimekipa jina ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924
-1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism
in Tanganyika.''

Na humo ndani nikaeleza historia ya Waislam katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Kwa urahisi nakuwekea hapo chini nilikopita:

[TABLE="width: 660"]
[TR]
[TD][h=1]Table of Contents[/h][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1. Dedication
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2. Acknowledgements
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3. Table of Contents
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4. Introduction
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][h=1] [/h][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][h=1]Part One[/h][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][h=2]Abdulwahid Sykes 1924-1968[/h][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chapter 1. The Sykes: Origins 1894-1929
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Old Town of Dar es Salaam and its Elites
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Kleist Sykes, Pioneer and Man of Ideas: 1894-1949
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· World War One 1914-1918
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Founding of the African Association and Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Muslim Association of Tanganyika), 1929-1933
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][h=1]Chapter 2.The Second World War and Tanganyika’s Political Foundation, 1938-1945[/h][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Burma Infantry, 1942
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chapter 3. Dar es SalaamDockworkers Movement 1947-1950
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Dar es Salaam Port, 1947
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Erika Fiah
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Dockworkers’ Union, 1948
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Chapter 4. The Genesis of Open Politics in Tanganyika 1950 -1954
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Tanganyika African Association, 1950
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· TAA Political Subcommittee, 1951
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Tanganyika as a Mandate Territory
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Kenyan Nationalists in the Struggle of Tanganyika,1950
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· TAA and KAU: Attempts at Linkage and Solidarity, 1950
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Meru Land Evictions, 1950
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chapter 5. Julius Kambarage Nyerere
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Story of Julius Nyerere, 1952
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Tanganyika African National Union (TANU)-The Party of Independence, 1954
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chapter 6. The Pan African Congress of Northern Rhodesia, 1953
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ally Kleist Sykes
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][h=1]Part Two[/h][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][h=2]Mass Mobilisation and Independence 1954-1961[/h][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chapter 7. Mass Mobilisation 1954
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Elders’ Council and Nyerere’s Visit to the United Nations, New York, 1954
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Idd Faiz Mafongo
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The African Press-Ramadhani Mashado Plantan, 1950
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Ahmed Rashad Ali-Radio Free Africa (Radio ya Afrika Huru), 1952
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Propagandists-The Bantu Group,1955
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Incorporation of Swahili Women’s Societies into the Struggle, 1955
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Football As a Political Weapon
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chapter 8. The Formation of the Party in the Provinces
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Central Province, 1955
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Southern Province, 1955
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Western Province, 1955
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Tanga Province, 1956
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· TANU in Mombasa, Kenya, 1957
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chapter 9. The Tabora Conference-The Road to Independence, 1958
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Tanga Strategy, 1958
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Debate for Tripartite Voting
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Pan-African Movement of East and Central Africa (PAFMECA), 1958
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Independence, 1961
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][h=2]Part Three[/h][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][h=2]Conspiracy Against Islam 1961-1970[/h][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chapter 10. The Muslim Factor in Post-Independence Tanzania 1961-1970
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Islam: The Ideology of Colonial Resistance
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The First Muslim Congress, 1962
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Resistance to Change
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Second Muslim Congress, 1963
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Proposal for an Islamic University, 1964
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Politics of Islam, Church, State and the African Christian
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chapter 11. The East African Muslim Welfare Society (EAMWS) ‘Crisis’
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Fomentation of the BAKWATA ‘Crisis’
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Nyerere, Tewa, Bibi Titi Encounter, 1968
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Islamic National Conference, 1968
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Omissions Analysed
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Betrayal of Ideals
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Conspiracy Theory
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Epilogue
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Bibliography
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Ndugu yangu
Mjuni Lwambo,

Ikiwa wewe unaona hizi hazikuwa harakati za uhuru kama wewe unavyoijua historia ya uhuru hakuna ugomvi wala hatuwezi kugombana kwa hili.

Kwani kuna walosema TAA kilikuwa chama cha starehe.
Kuna walosema TANU kaanzisha Nyerere nk. nk.

Mimi nikaja na kitabu nikasema TAA kilikuwa chama cha siasa.
Mimi nikasema TANU hakuanzisha Nyerere bali Abdulwahid Sykes nk. nk.

Na haya nimeyasema Nyerere yu hai.

Hakuna ugomvi kutofautiana.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Wote!!??, haiwezekani bhana, Mohamed Said mwenyewe alishawahi kusema kuwa kile kitabu ametunga kwa ajili ya wazee wake wa kiislamu ambao anadai wamesahaulika kwenye historia ya wapigania uhuru wa Tanganyika.
Halafu wee m'mama mbona unajidai kumjibia?, aje mwenyewe anyooshe maelezo asituchanganyie habari,
Was Dr Kyaruzi a muslim?

Mjuni.

Acha uvivu kijana tafuta hicho kitabu au fuatilia mtitiririko wa kwanza wa Mada ya Al Akhiy Mohamed said utaona wote amewataja na kuwaeleza kwa kina na mahisiano yao na wale wazee wa kariakoo.

Nakushauri kama utaacha uvivu na kusoma utapata faida kubwa sana na kujua mengi yaliofichwa katika historia ya uhuru wa tanganyika.

Pole sana
 
Mjuni Lwambo,
Amini unavyopenda hakuna wa kukuzuia wewe ni mtu huru mwenye fikra
na mawazo yako.

Kama nilivyo mimi huru kwa fikra na mawazo yangu.

Kitabu changu nimekipa jina ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924
-1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism
in Tanganyika.''

Na humo ndani nikaeleza historia ya Waislam katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Kwa urahisi nakuwekea hapo chini nilikopita:

[TABLE="width: 660"]
[TR]
[TD]Table of Contents
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1. Dedication
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2. Acknowledgements
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3. Table of Contents
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4. Introduction
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Part One
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Abdulwahid Sykes 1924-1968
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chapter 1. The Sykes: Origins 1894-1929
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Old Town of Dar es Salaam and its Elites
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Kleist Sykes, Pioneer and Man of Ideas: 1894-1949
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· World War One 1914-1918
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Founding of the African Association and Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Muslim Association of Tanganyika), 1929-1933
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chapter 2.The Second World War and Tanganyika's Political Foundation, 1938-1945
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Burma Infantry, 1942
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chapter 3. Dar es SalaamDockworkers Movement 1947-1950
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Dar es Salaam Port, 1947
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Erika Fiah
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Dockworkers' Union, 1948
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Chapter 4. The Genesis of Open Politics in Tanganyika 1950 -1954
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Tanganyika African Association, 1950
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· TAA Political Subcommittee, 1951
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Tanganyika as a Mandate Territory
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Kenyan Nationalists in the Struggle of Tanganyika,1950
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· TAA and KAU: Attempts at Linkage and Solidarity, 1950
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Meru Land Evictions, 1950
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chapter 5. Julius Kambarage Nyerere
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Story of Julius Nyerere, 1952
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Tanganyika African National Union (TANU)-The Party of Independence, 1954
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chapter 6. The Pan African Congress of Northern Rhodesia, 1953
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ally Kleist Sykes
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Part Two
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mass Mobilisation and Independence 1954-1961
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chapter 7. Mass Mobilisation 1954
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Elders' Council and Nyerere's Visit to the United Nations, New York, 1954
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Idd Faiz Mafongo
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The African Press-Ramadhani Mashado Plantan, 1950
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Ahmed Rashad Ali-Radio Free Africa (Radio ya Afrika Huru), 1952
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Propagandists-The Bantu Group,1955
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Incorporation of Swahili Women's Societies into the Struggle, 1955
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Football As a Political Weapon
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chapter 8. The Formation of the Party in the Provinces
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Central Province, 1955
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Southern Province, 1955
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Western Province, 1955
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Tanga Province, 1956
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· TANU in Mombasa, Kenya, 1957
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chapter 9. The Tabora Conference-The Road to Independence, 1958
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Tanga Strategy, 1958
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Debate for Tripartite Voting
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Pan-African Movement of East and Central Africa (PAFMECA), 1958
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Independence, 1961
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Part Three
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Conspiracy Against Islam 1961-1970
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chapter 10. The Muslim Factor in Post-Independence Tanzania 1961-1970
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Islam: The Ideology of Colonial Resistance
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The First Muslim Congress, 1962
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Resistance to Change
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Second Muslim Congress, 1963
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Proposal for an Islamic University, 1964
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Politics of Islam, Church, State and the African Christian
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chapter 11. The East African Muslim Welfare Society (EAMWS) ‘Crisis'
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Fomentation of the BAKWATA ‘Crisis'
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Nyerere, Tewa, Bibi Titi Encounter, 1968
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Islamic National Conference, 1968
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Omissions Analysed
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Betrayal of Ideals
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Conspiracy Theory
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Epilogue
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Bibliography
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Ndugu yangu
Mjuni Lwambo,

Ikiwa wewe unaona hizi hazikuwa harakati za uhuru kama wewe unavyoijua historia ya uhuru hakuna ugomvi wala hatuwezi kugombana kwa hili.

Kwani kuna walosema TAA kilikuwa chama cha starehe.
Kuna walosema TANU kaanzisha Nyerere nk. nk.

Mimi nikaja na kitabu nikasema TAA kilikuwa chama cha siasa.
Mimi nikasema TANU hakuanzisha Nyerere bali Abdulwahid Sykes nk. nk.

Na haya nimeyasema Nyerere yu hai.

Hakuna ugomvi kutofautiana.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Al Akhiy Mohamed said, I salute to you Yaa akhiy. assalamu alaykum.

Hakika bayana zako ni sahihi kabisa na kumbuka kuwa umejivua dhima kubwa sana kwa Allah kwa kutoa ilmu na kutufahamisha yale tusiokuwa tunayajua. Na Insha'Allah Allah atakulipa kwayo.

Suala la kukubali au kukataa hiyo ni khiari ya msomaji mwenyewe.

Allah akuzidishie zaidi na zaidi kwa faida unazotupa hapa barzani.

maa salaam
 
Mkuu!

Huko Morogoro unakotaja,hakuna Hiphop kama unavyodai,kuna manyanga na madogoli tu! Kwi! Kwi! Kwi!

Ahsanta.

hahaha kuna huyu kijana anayefahamika kwa stage id ya stamina a.k.a shorwe bwenzi.ndo mfamlume wa hipohop toka morogoro kwa sasa hivi baada ya afande sele.mcheki youtube mkuu.utamuelewa tuu huyu dogo.ok tuendelee na mada yetu mkuu.
 
Bobwe,

Umeongea kwa mantik nzito...tatizo ni yakuwa humu ndani kuna vipofu na viziwi wengi mno.

Kwa kifupi,hizo "ngano za upande wa pili" utazisuburia maisha yako yoote na hutaziona asilan...kwanza wataanzia wapi!? Kwi! Kwi! Kwi!

Ahsanta.[w/QUOTE]
Al akhy gombesugu vipofu ni wengi sana humu kazi yao ni kutukana tu hawajibu hoja ngoja sisi tuendelee kupata maalumati ya mzee MS.
 
Mzee Mohamed Said, ni kweli unavyosema kuwa mimi ni mtu huru na ni haki yangu kuwa na mawazo tofauti, kama ambavyo ni haki yako wewe pia kuwa na mtazamo tofauti juu ya historia ya uhuru wa Tanganyika,

Lakini lazima tukumbuke daima kuwa "kila mtu ana uhuru wa kuwa na mtazamo na maoni yake lakini hakuna mtu mwenye haki ya kuwa na ukweli wake peke yake" , hili huwa ninapenda kulirudia sana. Ukweli utabakia kuwa ni mmoja tu...
Tittle ya hicho kitabu inasema 'the untold story of muslim struggle.......', Tulitegemea, na kama ambavyo wewe ulikusudia, uzungumzie waislamu tu (hapa sitaki ku raise suala la uchochezi wa kidini na upotoshwaji wa historia maana limeshajadiliwa huko nyuma), katika kitabu hicho, na tusingetegemea kukuta akina Nyerere humo, Swali lililoulizwa na wengi ni je, Was Dr Kyaruzi a muslim?
Huoni kuwa kwa kuwajadili wasio waislam katika kitabu kinachozungumzia '... story of muslim struggle...' una act unproffesional?
 
"Don"t Judge a Book on its cover" wa TZ ni wavivu sana wa kusoma kumbuka title ya kitabu ni "Extract" ya kusudio ila haiharamishi kuandika yaliyo nje ya Title hiyo, na hata angefanya hivyo bado ungekuja na majina ya kina Kyaruzi na kuhoji kwa nini hayakuandikwa na Mohamed Said, Kama wewe ni msomo Mzuri wa Vitabu utakubali kuwa Vitabu Makini na Maarufu vyote kama vile cha Maisha ya Mandela bado kuna stori nyingi zionaelezea Maisha ya Makaburu japo hawakutajwa kwenye Title. ALLAHU AKBAR, ALLAHU AKBAR WALILAHIL HAMDU.Mohamed Said Shukran sana JF Idumu milele ili Jamii ikusome hasa wale ambao hawajapata vitabu vyako. Leo ukimuuliza Mtu Hassan Bin Ameir alikuwa nani hata Makafiri wanajua japo Vitabu vya TANU ya Nyerere vimekataa kumtaja!
 
[/B]

Humu ni jukwaa la majadiliano tu! na Kinacho jadiliwa ni mawazo ya Mtu! Haya madua yanatoka wapi?
Mkiambiwa hoja ya Mohamed Said na kwa ujumla Kitabu chenye ni Harakati ya Kidini kwa Mlango wa Elimu na Historia ya uhuru wa Tanganyika mnatoa macho na mapovu!.

Jifunzeni kuishi maisha nje ya Imani. Si kila kitu ni ya Kimani/Dini!
 
Unaposema " hata makafiri wanajua" hayo ni mojawapo ya madhara ya uchochezi wa Mohamed Said, Labda nikuulize, hayo makafiri nayo yalipigania uhuru?
[/B]

"Don"t Judge a Book on its cover" wa TZ ni wavivu sana wa kusoma kumbuka title ya kitabu ni "Extract" ya kusudio ila haiharamishi kuandika yaliyo nje ya Title hiyo, na hata angefanya hivyo bado ungekuja na majina ya kina Kyaruzi na kuhoji kwa nini hayakuandikwa na Mohamed Said, Kama wewe ni msomo Mzuri wa Vitabu utakubali kuwa Vitabu Makini na Maarufu vyote kama vile cha Maisha ya Mandela bado kuna stori nyingi zionaelezea Maisha ya Makaburu japo hawakutajwa kwenye Title. ALLAHU AKBAR, ALLAHU AKBAR WALILAHIL HAMDU.Mohamed Said Shukran sana JF Idumu milele ili Jamii ikusome hasa wale ambao hawajapata vitabu vyako. Leo ukimuuliza Mtu Hassan Bin Ameir alikuwa nani hata Makafiri wanajua japo Vitabu vya TANU ya Nyerere vimekataa kumtaja!
 
hahaha kuna huyu kijana anayefahamika kwa stage id ya stamina a.k.a shorwe bwenzi.ndo mfamlume wa hipohop toka morogoro kwa sasa hivi baada ya afande sele.mcheki youtube mkuu.utamuelewa tuu huyu dogo.ok tuendelee na mada yetu mkuu.

Nimekupata Mkuu....haina mbaya,nitamchekiYoutube huyo Dogo wetu!

Tuko Pamoja!

Ahsanta.
 
Bibi kikongwe a.k.a mjane, unataka kuolewa na Askofu? Mimi ni Askofu njoo nikuoe usijekufa na msongo.

Mkuu,

Hapo sasa unaharibu/utaharibu shughuli yoote.

Jaribu kuwa flexible na kutumia staha japo kiduchu unapongumza kwenye mijadala ya kitaaluma,khususan na ndugu zetu wa kike...ambao hawa ni darja ya Mama zetu.

Shukran
kwa kunisikiza,nakusihi tuendelee na mnakasha.

Ahsanta.
 
Mm nawaomba wale wenye kupinga ngano hizi waje hapa na ngano zao wanazo zijua wao ili ss wasomaji tupate kufahamu ni zipi ngano za kweli.

utapingaje Ngano nani mwenye muda mchafu!?
 
Mzee Mohamed Said, ni kweli unavyosema kuwa mimi ni mtu huru na ni haki yangu kuwa na mawazo tofauti, kama ambavyo ni haki yako wewe pia kuwa na mtazamo tofauti juu ya historia ya uhuru wa Tanganyika,

Lakini lazima tukumbuke daima kuwa "kila mtu ana uhuru wa kuwa na mtazamo na maoni yake lakini hakuna mtu mwenye haki ya kuwa na ukweli wake peke yake" , hili huwa ninapenda kulirudia sana. Ukweli utabakia kuwa ni mmoja tu...
Tittle ya hicho kitabu inasema 'the untold story of muslim struggle.......', Tulitegemea, na kama ambavyo wewe ulikusudia, uzungumzie waislamu tu (hapa sitaki ku raise suala la uchochezi wa kidini na upotoshwaji wa historia maana limeshajadiliwa huko nyuma), katika kitabu hicho, na tusingetegemea kukuta akina Nyerere humo, Swali lililoulizwa na wengi ni je, Was Dr Kyaruzi a muslim?
Huoni kuwa kwa kuwajadili wasio waislam katika kitabu kinachozungumzia '... story of muslim struggle...' una act unproffesional?

Mjuni Lwambo,
Hivyo ndivyo vitabu vinavyoandikwa hiyo mipaka unayokusudia kweli
ipo katika uandishi lakini kwa kumtaja Dr. Kyaruzi, Nyerere na wengineo
katika kitabu changu bado niko katika mipaka.

Ukipenda pitia vitabu vya waandishi wengine usome ''title'' na uangalie kama
hiyo ''title'' inakuwa kizingiti.

Hata mhariri wa kitabu changu hakupata kugusia hilo ulosema wewe.
 
Mm nawaomba wale wenye kupinga ngano hizi waje hapa na ngano zao wanazo zijua wao ili ss wasomaji tupate kufahamu ni zipi ngano za kweli.

Wazitowe wapi? hawana uwezo huo.

Alikuwapo anaejiita Mzee Mwanakijiji akatamba siku za nyuma kuwa ataandika, mpaka leo.

Alikuwepo anaejiita Yericko Nyerere, huyu hana uhusiano wowote na akina Nyerere ila hujidai tu kuzuga watu kuwa na yeye ni akina Nyerere, huyu ni mhehe, hana ndee wala sikio ya udugu na akina Nyerere. Huyu nae alijidai ataandika historia kupinga hii ya Mohamed Said, mpaka leo. Masiku, miezi na mwishowe miaka itapita.

Hawawezi hawa, wataanza anzaje bila ya kuwataja aliowataja Mohamed Said na bila kupitia machapisho yake? hawana ubavu.
 
Humu ni jukwaa la majadiliano tu! na Kinacho jadiliwa ni mawazo ya Mtu! Haya madua yanatoka wapi?
Mkiambiwa hoja ya Mohamed Said na kwa ujumla Kitabu chenye ni Harakati ya Kidini kwa Mlango wa Elimu na Historia ya uhuru wa Tanganyika mnatoa macho na mapovu!.

Jifunzeni kuishi maisha nje ya Imani. Si kila kitu ni ya Kimani/Dini!

Bwana asifiwe.

Furahi basi.
 
FaizaFoxy, nilichokisema mimi ndicho umekirudia.
Hebu nitajie katika hivyo vitabu ulivyoorodhesha, ni kitabu kipi cha historia, narudia 'cha historia' ambacho hakizungumzii waislamu na au uislamu?

Mohamed Said angejikita tu katika kuandika historia ya uislamu na waislamu Tanganyika tungemuelewa, lakini kulazimisha 'harakati za kupigania uislamu Tanganyika' iwe ndio 'harakati za kupigania uhuru Tanganyika' tunashindwa kumuelewa.

Heee, unanini wewe, sasa kama Waislaam ndio waliokuwa na harakati hizo za kudai Uhuru ulitaka asiandike? na wewe si andika ujuavyo, unataka aandike utakavyo wewe? Unanchekesha!
 
Back
Top Bottom