Ustaadh gombesugu, habari ya siku nyingi jamaa yangu! Tuanzie popote tu sina shida! wote walifanya unyama wakutisha huku wakitumia jina la Mungu wao kuharalisha uhayawani wao! wala hatuna sababu yoyote ile ya kuwakumbatia baadhi kwa vile wanatuhusu na kuwabeza wengine kwavile hawatuhusu. gombesugu, vita na ukatili mkubwa duniani unafanya kwa mwamvuli wa imani za dini. Bila imani hizo dunia ingekuwa mahali bora sana pa kuishi!
Bwana Gwalihenzi,
Salaam sana wangu.
Hata nami nimefurahika mno,yakuwa hatimae tumekutanika tena!
Wacha kabumbu lianze sasa! Lakini naona wewe tayari umeshaanza kumchezea fouls Sheikh Mohamed Said!? Kwi! Kwi! Kwi!
Mimi nitakua "mshika kibendera" kwenye jamvi hili!
Ahsanta.
