Elections 2015 Dr. W. Slaa ni fisadi kuliko Lowassa

Hilo wala si uongo.

Slaa alikuwa anatuaminisha kuwa Lowassa ni fisadi.

Lakini leo nnaona Slaa kazimwa na Mwenyekiti Mbowe, hasikiki wala haonekani.

Nnauhakika kazimwa kwa ajili ya ufisadi wake na alikuwa anadanganya kuwahadaa Watanzania kuwa Lowassa ni fisadi.

Mimi nnaamini Lowassa ni mtu safi kabisa, hana ufisadi hata chembe, kama anavyoamini Mbowe na wana UKAWA wote na ndiyo maana leo hii Mbowe alivyoingia tu chadema, siku hiyo hiyo kakaribishwa kwa kupewa kadi ya uanachama na siku hiyo hiyo kapewa nafasi ya kugombania Urais wa Tanzania.

Hakuna sababu nyingine yeyote zaidi ya kuwa Lowassa ni msafi, na ana uwezo kuliko mwana chadema yoyote katika uongozi ndiyo maana akapishwa haraka haraka kuchukuwa nafasi ya kugombea urais Tanzania.

Kwa upande mwingine, nnaamini kabisa kabisa kuwa Daktari wa Kanoni Slaa siyo mwadilifu na ni zaidi ya fisadi na ndiyo maana kapigwa chini na chadema na UKAWA kwa ufisdi wake hafai kugombea urais wala hafai kuwa Katibu Mkuu wa Chadema

Hali kadhalika kwa muasisi na aliyetowa wazo la UKAWA na aliyeongoza watu kutoka BMK, Professor Harun Lipumba. na yeye ni fisadi na kahongwa ndiyo maana kaachia Uenyekiti wa CUF.

Kumbe mafisadi tulikuwa nao tena mmoja ni Katibu Mkuu na mmoja ni Mwenyekiti wa vyama vyetu mahiri vya upinzani CUF na CHADEMA, hatukuwastukia mpaka hizi dakika za mwisho.

Ahsante Lowassa kwa kutujulisha kuwa hao ndiyo waliokuwa mafataani waliokuwa wanatukosesha ushindi miaka yote.

Tujadili.
duh..hata mimi naona fisadi wahed ni slaa na lipumba. wametimka kama panya kutoka ukawa baada ya mbowe kumleta mtu 'mwema wa mungu'. heko hamisi mgeja umetamka kwa lowassa 'nitakufuata popote uendapo hadi mwisho wa roho yangu' iwe kwenye daladala, sokoni tandale, pangoni etc.
 
Dini yetu inakataa mtu mchonganishi na mwongo. Mwogope Allah.
 
shindwa kwa jina la muhamad+yesu wewe shetwani FaizaFoxy , mapepo yote yakutoke na yawaingie wanao!
 
Last edited by a moderator:
Faiza Foxy nikuambie tena;
Maulid na futari za magogoni sahau;

Sema ya huko kwenu nyie mabingwa wa
kutukana, ya kwetu tuachie tuhangaike nayo.

Asante sana. Ameona hana pa kukimbilia anaanza kujisogeza karibu. Huyu na mwenzake Ritz ni wadini sana. Na wana chuki kali sana dhidi ya Ukristo hasa Katoliki. Sasa kakosa hoja na kakosa pa kukimbilia.
 
FaizaFoxy kahamia lini Ukawa..
Shangaa na wewe. Ila Ccm wana mbinu za kijinga sana. Wako tayari kutoa hata roho ya mtu ili mradi waendelee kunyonya wanyonge. Kaandika haya kwa nia ovu ya kufarakanisha na kuchonganisha na kupima akili za watu. Mimi namwonya tu mbinu alizokuja nazo ni za kishamba tumezigundua na akatafute single ingine.
 
Kuna lofa mmoja kapewa fedha na mafisadi alio wananga kuwa atahama chama iwapo fisadi nambari wani angepitishwa kugombea uraisi,ulofa una kazi unauza utu wako kwa talanta thenashara !
 
Nulijua Bavicha na Bawacha hamto elewa hii mtaingia kichwa kichwa!

Though Dr Slaa ni fisadi ndio maana kajificha baada ya kupata habari asiyempenda kaja kwake!

Kama Dr.W.Slaa yeye si fisadi na ana amini Lowasa ndiye fisadi basi ajitokeze hadharani kusema ...n

Mbinu zenu za kishamba tumeshazijua nyie magamba sugu. Hamna jipya zaidi ya ujinga tu.
 
Last edited by a moderator:
duh..hata mimi naona fisadi wahed ni slaa na lipumba. wametimka kama panya kutoka ukawa baada ya mbowe kumleta mtu 'mwema wa mungu'. heko hamisi mgeja umetamka kwa lowassa 'nitakufuata popote uendapo hadi mwisho wa roho yangu' iwe kwenye daladala, sokoni tandale, pangoni etc.
Slaa ni fisadi mkuu ndio maana sasa kafyata..
acha kujifaragua kujifanya mwenda wazimu Dr Slaa hana shida na mashinikozo yenu ni baba wa mageuzi nchi hii mulidhani mukimprovoke angekuja kuropoka sio yule anamalezi yake na maadili kwa miaka mitano umekuwa ukimtukana kwa kila jina ulijualo na leo unajidai kusimpathise naye hana muda na watu wasiokuwa na mbele wala nyuma kama wewemleta mada
 
Bibie FaizaFoxy, ukiwa unatunga uongo wako ujue siku zote mwisho wa siku utaumbuka tu! Haya huyo Mbowe unayesema siku aliyojiunga Chadema ndio siku aliyopewa nafasi ya kugombea urais ni Mbowe yupi? Huyuhuyu Freeman au kuna mwingine?

Ulimuelewa ubishi wakotu
 
Acha uzushi wewe kila kukicha hamuishiwi vioja...Fanya utafiti ndo upost ...mnachosha nyie.
 
Duh mbona nahisi maluweluwe hapa, toka lini faizafoxy ameachana na ccm na kuanza kumpenda Lowasa ambae tumeshudia mara nyingi akitukanwa nae!? Kuna mtu kaiba password yake!?

Sio rahisi kumwelewa rudia tena kusoma utayapata maudhui Yake.
 
Hilo wala si uongo.
Kumbe mafisadi tulikuwa nao tena mmoja ni Katibu Mkuu na mmoja ni Mwenyekiti wa vyama vyetu mahiri vya upinzani CUF na CHADEMA, hatukuwastukia mpaka hizi dakika za mwisho.

Ahsante Lowassa kwa kutujulisha kuwa hao ndiyo waliokuwa mafataani waliokuwa wanatukosesha ushindi miaka yote.

Tujadili.[/QUOTE

Kwa kazi finyu na mbovu kama hii sidhani kama utapata posho.Unajua kwanini hadi Sumaye kajiunga UKAWA?.

Back
Top Bottom