Elections 2015 Dr. W. Slaa ni fisadi kuliko Lowassa

duh..hata mimi naona fisadi wahed ni slaa na lipumba. wametimka kama panya kutoka ukawa baada ya mbowe kumleta mtu 'mwema wa mungu'. heko hamisi mgeja umetamka kwa lowassa 'nitakufuata popote uendapo hadi mwisho wa roho yangu' iwe kwenye daladala, sokoni tandale, pangoni etc.
 
Dini yetu inakataa mtu mchonganishi na mwongo. Mwogope Allah.
 
shindwa kwa jina la muhamad+yesu wewe shetwani FaizaFoxy , mapepo yote yakutoke na yawaingie wanao!
 
Last edited by a moderator:
Faiza Foxy nikuambie tena;
Maulid na futari za magogoni sahau;

Sema ya huko kwenu nyie mabingwa wa
kutukana, ya kwetu tuachie tuhangaike nayo.

Asante sana. Ameona hana pa kukimbilia anaanza kujisogeza karibu. Huyu na mwenzake Ritz ni wadini sana. Na wana chuki kali sana dhidi ya Ukristo hasa Katoliki. Sasa kakosa hoja na kakosa pa kukimbilia.
 
FaizaFoxy kahamia lini Ukawa..
Shangaa na wewe. Ila Ccm wana mbinu za kijinga sana. Wako tayari kutoa hata roho ya mtu ili mradi waendelee kunyonya wanyonge. Kaandika haya kwa nia ovu ya kufarakanisha na kuchonganisha na kupima akili za watu. Mimi namwonya tu mbinu alizokuja nazo ni za kishamba tumezigundua na akatafute single ingine.
 
Kuna lofa mmoja kapewa fedha na mafisadi alio wananga kuwa atahama chama iwapo fisadi nambari wani angepitishwa kugombea uraisi,ulofa una kazi unauza utu wako kwa talanta thenashara !
 

Mbinu zenu za kishamba tumeshazijua nyie magamba sugu. Hamna jipya zaidi ya ujinga tu.
 
Last edited by a moderator:
Slaa ni fisadi mkuu ndio maana sasa kafyata..
 
Bibie FaizaFoxy, ukiwa unatunga uongo wako ujue siku zote mwisho wa siku utaumbuka tu! Haya huyo Mbowe unayesema siku aliyojiunga Chadema ndio siku aliyopewa nafasi ya kugombea urais ni Mbowe yupi? Huyuhuyu Freeman au kuna mwingine?

Ulimuelewa ubishi wakotu
 
Acha uzushi wewe kila kukicha hamuishiwi vioja...Fanya utafiti ndo upost ...mnachosha nyie.
 
Duh mbona nahisi maluweluwe hapa, toka lini faizafoxy ameachana na ccm na kuanza kumpenda Lowasa ambae tumeshudia mara nyingi akitukanwa nae!? Kuna mtu kaiba password yake!?

Sio rahisi kumwelewa rudia tena kusoma utayapata maudhui Yake.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…