Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Wasalaam.
Kufuatia kushupaza shingo kwa bwana mbowe na kuamua kugombea uenyekiti wa chadema licha ya familia yake na wazee wenye busara kumsihi asigombee nimekumbuka maneno ya Dr slaa aliposema mbowe na genge lake ni wachumia matumbo na hawapo pale kwa ajili ya kupigania haki, uhuru na democrasia.
Ikuumbukwe pia mapema jana usiku wa manane Dr slaa alisisitiza kuwa mbowe amepokea maagizo kutoka CCM kuwa agombee tena nafasi yake ili aendelee kulamba asali na kuivunja rasmi chadema kwa maslahi yake na ccm. Mbowe licha ya kujua kwamba hakubaliki na wanachadema wa leo ametanguliza ubinafsi na uroho wa madaraka ili tu kuhakikisha mabwana wake ccm wanaendelea kutawala na kumtunza mwali wao kwa maslahi yao.
Shame on you bwana mbowe ww ni mamluki na Huna tofauti na kina profesa lipumba, ulaaniwe hakika