Dr Willbrod Slaa alikua sahihi na yuko sahihi mpaka kesho

Dr Willbrod Slaa alikua sahihi na yuko sahihi mpaka kesho

Slaa mwenye kimada kwenye kundi la Covid19 hapaswi kumnyooshea mtu kidole. Halafu kimada ni mtoto wa swahiba wake... Slaa ukimweka karibu na mke au bintiyo lazima amtafune.
Vp mama, na wewe alishakutafuna?
Aisifuye mvua imemnyea!
 
Haaminiki huyo alinunuliwa na CCM kwa vipande thelathini vya fedha 2015 kwa sasa ni kama anampigia mbuzi gitaa.
Slaa alikimbia utapeli wa Mbowe. Na hakuondoka peke yake.
Huwezi kutuletea mtu mliyemuhubiri kuwa fisadi kuwa mgombea Tena baada ya kukatwa CCM na pia kwakuvunja katiba ya CHADEMA.
2015 Mbowe alilamba mpunga wa kutosha ili kufanikisha gia ya angani
 
Slaa alikimbia utapeli wa Mbowe. Na hakuondoka peke yake.
Huwezi kutuletea mtu mliyemuhubiri kuwa fisadi kuwa mgombea Tena baada ya kukatwa CCM na pia kwakuvunja katiba ya CHADEMA.
2015 Mbowe alilamba mpunga wa kutosha ili kufanikisha gia ya angani
Acha blaa blaa slaa ni msaliti
 
Acha blaa blaa slaa ni msaliti
Ukweli unazidi kuwa wazi, kat ya Slaa na Mbowe itajulikana nani ni msaliti.
Lisu na Mbowe 2015 waliungana kulamba asali, Leo Kiko wapi?
Nchi hii wapinzani wa kweli hawatakiwi.
Kufuatilia siasa za upinzani TZ ni utaahira. Labda km unamaslah huko
 
Sio Slaa tu, hata Msigwa alikua sahihi. Nilichelewa kumuelewa Msigwa.
Kwamba Dr. Slaa na Mch. Msigwa wanamshutumu Mbowe kwa kuchukua hela na maagizo kutoka CCM? Kwani wao wapo kwenye chama gani? 😂😂😂
 
Ni jambo la aibu kupinga na kukosoa demokrasia inayofanyika ndani ya CHADEMA. Kila mwanachama ana haki ya msingi ya kugombea. Katiba ya chama haiweki ukomo wa uongozi. Sasa tatizo li wapi? Kama mnataka Lissu si subirini sanduku la kura? Hii ndio maana ya kuchukua fomu na kugombea, sio kupita bila kupingwa.

Mashabiki wa Lissu msidumaze demokrasia.
Sijui kama kuna anye pinga haya uliyo andika hapa; mradi tu huo uchaguzi uwe HURU na wa HAHI.
Sijasikia Lissu akipinga haya. Lakini ifahamike, kukitokea mchezo wowote wa kuchakachua kura au kushinikiza ushindi kwa njia yoyote ile; hapo kelele ni lazima zipaazwe na zisikike.
 
Back
Top Bottom