Dr. Zakir Naik awasili Zanzibar, afafanua kuhusu mhadhara atakaofanya, asema hakuna utata kwa wale wanayoyajua maandiko

Dr. Zakir Naik awasili Zanzibar, afafanua kuhusu mhadhara atakaofanya, asema hakuna utata kwa wale wanayoyajua maandiko

Bibilia gani iliomuongelea Muhammad labda Bibilia yake
 
Atulie kabisa ngoja akutane na fransis Ndacha,, mchungaji Yohana,na Paul Husein tumsilimishe
 
Ziara yake Afrika ya Magharibi

Mayahudi na Wakristo wanapaswa Kufuata Amri za Mtume Muhammad (SAW) - Dk Zakir Naik

View: https://m.youtube.com/watch?v=ccy8I8nTKpw
Jews and Christians should Follow the Commandments of Prophet Muhammad (pbuh) - Dr Zakir Naik

Yaani tumfate Muhammad aliyekuja mwaka 600AD?

Muhammad asiyejua mwisho wake ukoje,asiyejua atafanywa nini yeye na wanaomfata ,ndio mnatushauri tumfate?

Muhammad ni sawa na kipofu na anawaongoza wote watatumbukia shimoni
 
Waumini walalamika :


1 day ago


View: https://m.youtube.com/watch?v=ipig0nJIhIc
wamemfungia mhadhiri wa kimataifa Dr. Zakir Naik msikitini unamuulizaje, mtu anauliza swali yuko nje.

Mhadhara ukumbini ambapo kila mtu wa imani yoyote anaingia, na sio huo upuuzi wa kufungiana ndani waislam watupu. Eti wakristo wako nje.

Zanzibar mmetia aibu, na hata uyo mwenyewe Dr. Zakir Naik hajapenda ndo mana kawa mkali sana leo 31 December 2024 ndani ya Masjidi Zanjibar Zanzibar

Mdau mwingine :
Hakika lugha gongana imeleta changamoto :

Kujua lugha nyingi ni sunnah katika uislam ili uweze kulifikisha neno lake .napia mungu ndo kaumba hayo makabila na lugha. quran itasomwa kiarabu na tafseer inatumika lugha yoyote mpk kisukuma ukitaka unatfsiriwa tu .


Mkuu jambo lolote lishakuwa na mkono wa CCM tegemea maharibiko tu
 
Back
Top Bottom