DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

ahsante sana
 
KWA FAIDA YA WOTE (JIUNGE MAGROUP YA DRAFTI WHATSAPP)

kuna magroup 5. group namba 3 na 4 nitawapa link.
group namba 1, 2 na 4 nitawapa namba za admins muwaombe wawaunge, hakuna kiingilio wala ada.
 

Attachments

  • Screenshot_20230807-201445_WhatsApp.jpg
    40.4 KB · Views: 15
admin wa group namba 1:
+255625 867 484

admin wa group namba 2 (Draughts in Africa)
+260977575785

admin wa group namba 5:
+255682 158 600
 
admin wa group namba 1:
+255625 867 484

admin wa group namba 2 (Draughts in Africa)
+260977575785

admin wa group namba 5:
+255682 158 600
Link zote mbili kwangu zina-load tu nimeshindwa kujiunga.
Namba ya Admin wa group namba 2 uliyo toa hapo nimemwambia aniunge akasema OK Ila hadi Leo sijaungwa.
Namba ya Admin wa group namba 5 kasema yeye siyo admin, nikamwambia amwambie admin aniunge lakini hadi leo hakuna majibu.
Namba ya Admin group namba 1 yeye alinipa namba ya mtu aliyedai ndio admin, nikamwambia huyo ndugu aniunge akasema kuungwa kwenye group unalipia elfu kumi na mbili ya katiba, akasema nikiwa tayari atanipatia namba ya katibu niwasiliane Naye.
Sasa hapa wewe umesema hakuna kiingilio, nikawa nimekwama, hebu nieleweshe vizuri kuhusu hili suala.
 
Link zote mbili kwangu zina-load tu nimeshindwa kujiunga.
Namba ya Admin wa group namba 2 uliyo toa hapo nimemwambia aniunge akasema OK Ila hadi Leo sijaungwa.
Namba ya Admin wa group namba 5 kasema yeye siyo admin, nikamwambia amwambie admin aniunge lakini hadi leo hakuna majibu.

whatsapp ndivyo ilivyo, sometimes inazingua kujoin group kwa link, inaload sana mpaka unachoka. jaribu wakati mwingine hizo link. links za hayo magroup bado hazijabadilishwa.

nitaweka namba za admins wote wa group namba 5.

admin wa group namba 1 kakuzingua tu, hakuna kiingilio kwenye hilo group. kwa Tanzania nzima, group la kulipia ni moja tu, la Manyanya (Group La Taifa), mengine yote yaliyobaki hawalipii
 
Ahsante Kwa ufafanuzi
 
Sheria namba sita kwenye tatu gomea. Mpinzania anaweza kuwa anacheza kila baada ya dakika moja. Hivyo dakika tano alizonazo mtu ili kuitoa kete atakuwa amecheza mara tano tu. Iwekwe vizuri hizo dakika tano zinahesabiwaje.
 
CR7 Ronaldo mbona hayupo kwenye hii ligi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…