Noel Namaloe a.k.a bingwa wa dunia alichukua ubingwa, nafasi ya pili Shaban Mdoka (Ronaldo), nafasi ya tatu Dogo Sisco(fantastic sound) na Nduli Ndulima (ndimu mkata shombo) nafasi ya nne.Matokeo ya mashindano yalikuwaje?
We naye msomali umfananishe na Ronald, wakati mbabe wa Arusha ni ramaSisco hawezi kushindikana Tanzania nzima kwasababu hajacheza na wacheza draft wote
Nimeangalia draft na kucheza sana ila kuna Dogo mmoja msomali yupo Arusha sijawahi kuona akifungwa na nina uhakika Sisco hamsogelei. Huyo jamaa nahisi ndio mchawi wa draft
Sisco ni level moja na kila Ronaldo na Msukuma wa Dsm
Juzi kati rama alifungwa 8-2 na dogo ally Black poison The FactorWe naye msomali umfananishe na Ronald, wakati mbabe wa Arusha ni rama
Hiyo hua inatokea kaka BalqiorJuzi kati rama alifungwa 8-2 na dogo ally Black poison The Factor
Msomali akimwonaga sisco nae mbali kabisa hataki hata kumsogelea,Msomali anakuja Sana manyanya pale hata mechi na Sisco hawez omba Wala kupangiwa..sio uzani wake,,...huyo anahangaishana na kina Ally white wachezaji uzani flani wa katkat ao wa mabao
Eeeeewaaa mafunfi wote wapo pale
Ukiona mechi za msomali live, mikataba anayowapa watu tena wachezaji wazuri tu tena ya kupata sare kadhaa hapo arusha mjini, halafu huyo msomali hamsogelei Sisco, ndo najua kuwa mm draft bado silijui kabisa toughlendon_1Msomali akimwonaga sisco nae mbali kabisa hataki hata kumsogelea,
Mwanangu msomali azuie draw kwa sisco, kama upo dar pita manyanya siku moja ujionee maninja wa mabao, me mwenyewe nlikuwa mbish kama wewe mpaka nlivyohamia kinondoni karibu na hayo maeneo ndio nkajua sisco ni noma kabisa man, mabingwa wa tanga walipigwa 7 bila kila mmojaUkiona mechi za msomali live, mikataba anayowapa watu tena wachezaji wazuri tu tena ya kupata sare kadhaa hapo arusha mjini, halafu huyo msomali hamsogelei Sisco, ndo najua kuwa mm draft bado silijui kabisa toughlendon_1