DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

Sisco hawezi kushindikana Tanzania nzima kwasababu hajacheza na wacheza draft wote

Nimeangalia draft na kucheza sana ila kuna Dogo mmoja msomali yupo Arusha sijawahi kuona akifungwa na nina uhakika Sisco hamsogelei. Huyo jamaa nahisi ndio mchawi wa draft

Sisco ni level moja na kila Ronaldo na Msukuma wa Dsm
We naye msomali umfananishe na Ronald, wakati mbabe wa Arusha ni rama
 
Msomali anakuja Sana manyanya pale hata mechi na Sisco hawez omba Wala kupangiwa..sio uzani wake,,...huyo anahangaishana na kina Ally white wachezaji uzani flani wa katkat ao wa mabao
Msomali akimwonaga sisco nae mbali kabisa hataki hata kumsogelea,
 
Msomali akimwonaga sisco nae mbali kabisa hataki hata kumsogelea,
Ukiona mechi za msomali live, mikataba anayowapa watu tena wachezaji wazuri tu tena ya kupata sare kadhaa hapo arusha mjini, halafu huyo msomali hamsogelei Sisco, ndo najua kuwa mm draft bado silijui kabisa toughlendon_1
 
Mwanangu msomali azuie draw kwa sisco, kama upo dar pita manyanya siku moja ujionee maninja wa mabao, me mwenyewe nlikuwa mbish kama wewe mpaka nlivyohamia kinondoni karibu na hayo maeneo ndio nkajua sisco ni noma kabisa man, mabingwa wa tanga walipigwa 7 bila kila mmoja
 
Back
Top Bottom