Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Huwa unapenda michezo gani mm hapo mabano na nugza mara nyingi sifungwi nikicheza mabano au nugza ww je😀😀 😀 😀 😀 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa unapenda michezo gani mm hapo mabano na nugza mara nyingi sifungwi nikicheza mabano au nugza ww je😀😀 😀 😀 😀 😀
sikumbuki tena aisee, niliachana na drafti 2011, uraibu wake hapana kwa kweli 😀Huwa unapenda michezo gani mm hapo mabano na nugza mara nyingi sifungwi nikicheza mabano au nugza ww je
uraibu wake ulikufanyajesikumbuki tena aisee, niliachana na drafti 2011, uraibu wake hapana kwa kweli 😀
😀 Scars jana katoka home kaenda kijiweni kuangalia sare inapatikana vipiuraibu wake ulikufanyaje
Kama nilivyosema Mkuu, draft mimi ndio mchezo wangu pendwa yani kama sichezi basi niwe naangalia mabingwa wanavyo kipiga😀 Scars jana katoka home kaenda kijiweni kuangalia sare inapatikana vipi
kanikumbusha mbali sana 2003 na 2011,
nilifika hatua ya kutengeneza draft langu mwenyewe, na kucheza mwenyewe, nijue nakosea wapi pindi nikifungwa, nakariri kabisa zile moves zilizofanya nifungwe
narudi home nacheza na mimi mwenyewe kurudia moves zile zile nione nachoropoka vipi, na anticipate possible moves zote zijazo
kesho narudia naenda kurudiana na yule mpinzani , nilifanya ivyo mpaka nimkamate, na hiyo ni kwa wapinzani wengine tofauti tofauti
2004 naamka naenda vijiwe vya mbali, no kula no kuoga, narudi home usiku, fimbo hazikusaidia
kiufupi draft niliiipenda sana
hahahahaha, so walikiwasha mpaka saa 10 alfajiri, possibly mpaka asubuhiWalianza kucheza saa 10 jioni na ilipofika saa 4 sisi tukawaacha, asubuhi yake tukapata taarifa kuwa mchafu alikula 5,000
Niliambiwa mchafu ndio mchezaji ambaye anaongoza kwa kutoa mikataba migumu inayombana yeyehahahahaha, so walikiwasha mpaka saa 10 alfajiri, possibly mpaka asubuhi
hahahaha noma sana
kijiwe chake huyu wapi ? Kino ?Juma mchafu
Ila sasa atleast hata online unacheza kama huna muda katika vijiwe ingawa halina ladha online kama vijiweni😀 Scars jana katoka home kaenda kijiweni kuangalia sare inapatikana vipi
kanikumbusha mbali sana 2003 na 2011,
nilifika hatua ya kutengeneza draft langu mwenyewe, na kucheza mwenyewe, nijue nakosea wapi pindi nikifungwa, nakariri kabisa zile moves zilizofanya nifungwe
narudi home nacheza na mimi mwenyewe kurudia moves zile zile nione nachoropoka vipi, na anticipate possible moves zote zijazo
kesho narudia naenda kurudiana na yule mpinzani , nilifanya ivyo mpaka nimkamate, na hiyo ni kwa wapinzani wengine tofauti tofauti
2004 naamka naenda vijiwe vya mbali, no kula no kuoga, narudi home usiku, fimbo hazikusaidia
kiufupi draft niliiipenda sana
online halina ladha, kijiweni kuna ladhi nyingi sana, yale maneno ya shombo na zile rejesta(misemo) zinakupa mzuka na full burudaniIla sasa atleast hata online unacheza kama huna muda katika vijiwe ingawa halina ladha online kama vijiweni
Huyo alifariki mwaka 2018kijiwe chake huyu wapi ? Kino ?
Bahati mbaya juma amefariki..kijiwe chake huyu wapi ? Kino ?
hahahaha nimependa hiicontroversial halafu akifika temeke anamuonesha mangwerere wanalipanga upya anapewa mbinu
Kila ukipita manyanya unamkuta anakula kashata na kahawa ndo msosi wake apo tangu asubui aseeeHuyo alifariki mwaka 2018
Alikuwa anavuta sigara sana halafu msosi hali
Alipata magonjwa kama mawili hivi halafu yote ya kutibiwa india
Alivyokufa manyanya wali host mashindano kwa ajili ya kumuenzi
Alikuwa ni mwanafunzi wa mangwerere, alikuwa na kisimu kidogo afu kibaya baya. Alikuwa anakitumia kupiga picha madraft ambayo ni controversial halafu akifika temeke anamuonesha mangwerere wanalipanga upya anapewa mbinu
huu mchezo nilikua naufanya, sema nilikua najichallenge mwenyewe, yaani mimi ndiyo mpinzani wangu, na drafti langu ( la box zile ngumu ) chumbani, sikutumia simu zaidi ya kukariri zile moves kule kijiweni, narudi home napanga, nadondosha moves zile zilecontroversial halafu akifika temeke anamuonesha mangwerere wanalipanga upya anapewa mbinu
aiseeanakula kashata na kahawa ndo msosi
Mwaka 2017 kuna siku alikuwa anacheza draft ghafla akaanza kutapika madude flani ya njano sijui alikula vitu ganiKila ukipita manyanya unamkuta anakula kashata na kahawa ndo msosi wake apo tangu asubui aseee
hahahahahahahanyie matula mtanishauri nini wakati hata bao hamjui
Umeelezea kiulaini sana..hiyo ngoma kwa matula kama mimi nawwe ni kamba..sijajua jamaa katokajekwa comment hii natumai una 'kijani' kule jamvini 😀
kete nyeupe zipo nyuma sana, na king nyeupe haipo meja
ili nyeupe ishinde kete tatu (kama anajua, natumai anajua maana ni bingwa) inabidi king yake iwe meja au kete iyo ya kati iwe karibia na kuvishwa crown ( bahati mbaya iko mbali )
nyeupe akitaka awahi meja na king, kete inaliwa, akiiacha meja, nyekundu anawahi meja
Mm namkimbiza uyoo