Sisco kibongo bongo ndo top..
Mkulima anasadikika ni wa Kenya.
Sisco unampata manyanya pale, mi niliwai ona anampa mtu sare 3 na sisco akapusuka mara mbili (Jamaa anaitwa masamaki, wanamjua ni muhuni anajua draft ila hachezi la mashindano makubwa)..
Na pia hawa mabingwa kuna mda wanafungwa kwa sababu hawataki kuonesha silaha zao kwa bei nafuu..
Issa Meno ya Mamba alimkatalia jamaa angu kucheza nae kisa dau dogo, enzi izo ni bingwa wa Tz...
Ukitaka watu waweke bunduki zao na vifaru, nenda kwenye michuano ya Java. Mzigo unakua mrefu..
Utamkuta Nduli, Noel, Ronaldo, Dogo Sisco, Dogo Ally, Dogo Yasini, Kiwembe, Fyatuka, Ally white, Rama Arusha, Kwatamwivi, Simba wa kongwa,.. Na mafundi wengine kibaooo