DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

kabishane na google nimechoka kubishana na wewe unaedhani apps hizo za simu ni sawa na computer program inayowagalagaza mabingwa wa draft wa dunia

niambie ni mwanadamu gani kakariri moves zote bilioni 500 za drafti ??
Unachokisema uko sahihi pia hauko sahihi..moves billion 500 ni nyingi kwa bigwa kumeza kama zilivo..ila mkuu hebu test kwenda na kompyuta uwe unaigilizia hapo draft college..ukiwapiga utakua umewapa mbinu extra ya kujifunza..akikupiga utaacha ad pc
 
huu mchezo nilikua naufanya, sema nilikua najichallenge mwenyewe, yaani mimi ndiyo mpinzani wangu, na drafti langu ( la box zile ngumu ) chumbani, sikutumia simu zaidi ya kukariri zile moves kule kijiweni, narudi home napanga, nadondosha moves zile zile
Kuna jamaa mtaani anaitwa kapilima, huyu jamaa anaweza akakupangia draft la siku tatu tena lenye kete ambazo zimekaa randomly bila kukosea
 
Inakuwa hivi, kuna program za computer zimemezeshwa kila copy ya draft na mbinu, hakuna kipya utachofanya ambacho haijui, kwa kifupi ni kwamba hakuna mwanadamu anaeweza kushinda, na hata zikicheza computer 2 ni droo.

Mfano wa hizi program ni kama chinook iliyoweza kuzimeza kopi zote za kushinda na kutoa sare. HAIFUNGIKI !! Mabingwa wa drafti duniani waliocheza nayo wameshindwa, achana na hizo games / apps za kwenye simu, hazifikii hata theluthi na ndio maana watu wanashinda.

Kwa mtu anaecheza mtandaoni anaweza kuzitumia program kama hizo kujimwambafai, upande moja anakuwa na laptop yenye hiyo program upande wa pili ndio anakuwa na simu anayochezea draft mtandaoni.

Mpinzani akisukuma kete, nae anaigiliza hio move anaiweka kwenye program ya computer, computer ikicheza yeye anaigilizia anacheza hivyo hivyo kwenye simu yake mtandaoni,

Nimestuka sana pale imefikia hatua huyo mkulima hataki kajiamini kiasi kuviomba vikundi vya draft viwe vinahangia kwa mpigo wawe wanaunganisha vichwa, yawezekana ni mtaalam ila kwenye hili ndipo nilipomtilia shaka huenda ana kichwa kama computer ama anatumia program ya computer.

Wanaocheza drafti yawezekana wanachojua zaidi ni drafti ila wasisahau kwamba teknolojua imekuwa kubwa sana, wawe makini! Wao wanaweza kudhani kwa kuwa anaecheza ni mtu basi wanamwamini kumbe mtu wanaecheza nae anaigilizia kwenye computer.

Nasikia kuna sponsor analipa pesa. Awe makini.
Weka hiyo program hapa ikiwezekana share link

Kama wewe umeshindwa kufanya challenge kwa mabingwa na hiyo software yako, tuwekee link tukusaidie halafu tutakuletea mrejesho hapa
 
Inakuwa hivi, kuna program za computer zimemezeshwa kila copy ya draft na mbinu, hakuna kipya utachofanya ambacho haijui, kwa kifupi ni kwamba hakuna mwanadamu anaeweza kushinda, na hata zikicheza computer 2 ni droo.

Mfano wa hizi program ni kama chinook iliyoweza kuzimeza kopi zote za kushinda na kutoa sare. HAIFUNGIKI !! Mabingwa wa drafti duniani waliocheza nayo wameshindwa, achana na hizo games / apps za kwenye simu, hazifikii hata theluthi na ndio maana watu wanashinda.

Kwa mtu anaecheza mtandaoni anaweza kuzitumia program kama hizo kujimwambafai, upande moja anakuwa na laptop yenye hiyo program upande wa pili ndio anakuwa na simu anayochezea draft mtandaoni.

Mpinzani akisukuma kete, nae anaigiliza hio move anaiweka kwenye program ya computer, computer ikicheza yeye anaigilizia anacheza hivyo hivyo kwenye simu yake mtandaoni,

Nimestuka sana pale imefikia hatua huyo mkulima hataki kajiamini kiasi kuviomba vikundi vya draft viwe vinahangia kwa mpigo wawe wanaunganisha vichwa, yawezekana ni mtaalam ila kwenye hili ndipo nilipomtilia shaka huenda ana kichwa kama computer ama anatumia program ya computer.

Wanaocheza drafti yawezekana wanachojua zaidi ni drafti ila wasisahau kwamba teknolojua imekuwa kubwa sana, wawe makini! Wao wanaweza kudhani kwa kuwa anaecheza ni mtu basi wanamwamini kumbe mtu wanaecheza nae anaigilizia kwenye computer.

Nasikia kuna sponsor analipa pesa. Awe makini.
We leta iyo program niidownload, mana me nimetafuta hata iyo program ya chinok sijaipata
 
Na sometimes unakuta ime base kwenye french au yale ma draft yenye vyumba zaidi ya 64 au pengine yale madraft ambayo hayana mstari wa major
 
Canadian Chinook hiyo
1673003809963.png
 
SISCO ALIPIGWA 2-0

ILA NADHANI MECHI ITARUDIWA
Hata mechi ikirudiwa Sisco Tula Tula atalazwa chini na Mkulima na kula mboko kama kijana wa chekechea!

Stori za Mtaani ni kuwa Mkulima hafungiki labda ukae na bibi yako mcheze pamoja kichawi!!Huyu mkulima itakuwa Huwa anakuja manyanya na kucheki draft tu bila kucheza maana hajitambulishi online! Watu hawamjui sura yake!!

Hao kina Mangwelele sijui Ally white mara Dunga na Kijiko na Kagunga , msomali na matula Tula wengine hawasogezi pua Sisco tu ndo mbishi japo Kila siku anapasuka yumo tu!
 
Huyo Sisco hawezi kushindikana Tanzania nzima kwasababu hajacheza na wacheza draft wote

Nimeangalia draft na kucheza sana ila kuna Dogo mmoja msomali yupo Arusha sijawahi kuona akifungwa na nina uhakika huyo Sisco hamsogelei. Huyo jamaa nahisi ndio mchawi wa draft
Hivi mimi mnanijua lakini?
 
Huyu Sisco ni wawapi?

Wamkoani au?
Sisco kibongo bongo ndo top..

Mkulima anasadikika ni wa Kenya.

Sisco unampata manyanya pale, mi niliwai ona anampa mtu sare 3 na sisco akapusuka mara mbili (Jamaa anaitwa masamaki, wanamjua ni muhuni anajua draft ila hachezi la mashindano makubwa)..

Na pia hawa mabingwa kuna mda wanafungwa kwa sababu hawataki kuonesha silaha zao kwa bei nafuu..

Issa Meno ya Mamba alimkatalia jamaa angu kucheza nae kisa dau dogo, enzi izo ni bingwa wa Tz...

Ukitaka watu waweke bunduki zao na vifaru, nenda kwenye michuano ya Java. Mzigo unakua mrefu..

Utamkuta Nduli, Noel, Ronaldo, Dogo Sisco, Dogo Ally, Dogo Yasini, Kiwembe, Fyatuka, Ally white, Rama Arusha, Kwatamwivi, Simba wa kongwa,.. Na mafundi wengine kibaooo
 
White, Dogo Yassini na meno ya mamba hao nawajua

Huyo white mitaa yake nadhani ni yombo nishawahi shuhudia game yake na dogo Hamisi
 
Hata mechi ikirudiwa Sisco Tula Tula atalazwa chini na Mkulima na kula mboko kama kijana wa chekechea!

Stori za Mtaani ni kuwa Mkulima hafungiki labda ukae na bibi yako mcheze pamoja kichawi!!Huyu mkulima itakuwa Huwa anakuja manyanya na kucheki draft tu bila kucheza maana hajitambulishi online! Watu hawamjui sura yake!!

Hao kina Mangwelele sijui Ally white mara Dunga na Kijiko na Kagunga , msomali na matula Tula wengine hawasogezi pua Sisco tu ndo mbishi japo Kila siku anapasuka yumo tu!
Mkulima watu hawamjui?
 
Kuna mechi muda huu ONLINE mkulima VS Ronaldo
 
Back
Top Bottom