Nimekuwa nikifatilia gemu za mkulima, nimegundua mkulima hanaga copy, na harudiagi michezo, yani mfano leo akicheza aina hii ya kavimba kesho atacheza aina ingine kabisa ya kavimba, yani anaweza anza kete yoyote na kujibu kutumia kete yoyote, mkulima anaweka kete ambayo hujawahi chezewa, na ukikosea anakupiga na finishing kali, kina cr7 na sisco wanafungwa sababu wanapoteana, kina sisco wamekariri copy, sasa mkulima anaenda na mguu tofauti, ukijichanganya anakufunga, ukicheza vizuri mkulima anatoa sare ya nguvu
basi fresh Ganja ni dawa