Fitna imezidi wapi??Bongo fitina imezidi
Achilia mbali ku copy idea kwa wasanii wa marekani, kuna boya ali copy instrumental ya davido kwenye ngoma yake ya followFitna imezidi wapi??
kama msanii wa bongo anacopy beats na video za msanii wa kimataifa unadhani kuna siku na yeye atapaa kimataifa kweli??
Huwezi kufananisha ata kidogo Nigeria na Tanzania , jamaa wako juu sana labda kwenye fitina zisizo na msingi tutakuwa tunawazidi , mkumbuke kocha wa Taifa stars ni MnigeriaMziki wa Nigeria unaendelea kukua kwa Kasi Duniani Hulu wasanii wake wakiendelea kunufaika
Usiku wa Jana Drake akiwa London alimpandisha Wizkid nakumpa nafasi ya kupaform nyimbo zake kadhaa Kama Soco,Nowo pamoja na colabo Yao ya come closer.
Davido na miezi michache ijayo atapanda kwenye tamasha kubwa la Summer Jam akiwa na rapa mkali Card B.
Wasanii wetu was Bongo wanatakiwa kuongeza bidii kufika Hulu maana kwasasa Kama Kasi imepungua
View attachment 1066659
Sent using Jamii Forums mobile app
Mziki wa Tanzania kwenda global unafitina gani?Unawalaum tu wasanii wa bongo pasipo kujua ugumu wa music na fitina zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Fitina? Kivipi mkuu jaribu kufafanuaHuwezi kufananisha ata kidogo Nigeria na Tanzania , jamaa wako juu sana labda kwenye fitina zisizo na msingi tutakuwa tunawazidi , mkumbuke kocha wa Taifa stars ni Mnigeria
Uko ndan ya sanaa ya mziki au uko njeMziki wa Tanzania kwenda global unafitina gani?
Platform Ni zile zile kuanzia Tidal Hadi Spotify.
Ebu fafanua kidogo mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Bongo uchawi Mwingi.Bongo fitina imezidi
Pidgins inaeleweka kirahisi!!! Acha masihara basiYaani nyie mnadiscuss yote hayo na kuponda watu, hamjui kuwa na lugha ni tatizo. Kiswahili huwezi kulinganisha na pidgins ya Nigeria.
"
Pidgins inaeleweka rahisi . Na mtu hasumbuki kuelewa kilichoimbwa.
Sent using Jamii Forums mobile app