Drake ampandisha Wizkid jukwaani London wapaform pamoja

Drake ampandisha Wizkid jukwaani London wapaform pamoja

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Mziki wa Nigeria unaendelea kukua kwa Kasi Duniani Hulu wasanii wake wakiendelea kunufaika
Usiku wa Jana Drake akiwa London alimpandisha Wizkid nakumpa nafasi ya kupaform nyimbo zake kadhaa Kama Soco,Nowo pamoja na colabo Yao ya come closer.
Davido na miezi michache ijayo atapanda kwenye tamasha kubwa la Summer Jam akiwa na rapa mkali Card B.
Wasanii wetu was Bongo wanatakiwa kuongeza bidii kufika Hulu maana kwasasa Kama Kasi imepungua

Screenshot_20190409-112222~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu alitoa ushauri tuipe airtime Singeli/kigodoro nadhani huu mziki una potential zaidi kimataifa tukiubeba!..
Imagine Kim K, Nick M, Cardi B etc wanaucheza!.
 
Fitna imezidi wapi??
kama msanii wa bongo anacopy beats na video za msanii wa kimataifa unadhani kuna siku na yeye atapaa kimataifa kweli??
Achilia mbali ku copy idea kwa wasanii wa marekani, kuna boya ali copy instrumental ya davido kwenye ngoma yake ya follow

Aliyemuiga saizi kaishafanya collabo na migos na anampango wa kuperfom live na card b

Kivipi unafikiri tutaweza kuwini, ikiwa tunaowaiga tunataka tuwashinde kwenye ujuzi?

Sent using unknown device
 
Mziki wa Nigeria unaendelea kukua kwa Kasi Duniani Hulu wasanii wake wakiendelea kunufaika
Usiku wa Jana Drake akiwa London alimpandisha Wizkid nakumpa nafasi ya kupaform nyimbo zake kadhaa Kama Soco,Nowo pamoja na colabo Yao ya come closer.
Davido na miezi michache ijayo atapanda kwenye tamasha kubwa la Summer Jam akiwa na rapa mkali Card B.
Wasanii wetu was Bongo wanatakiwa kuongeza bidii kufika Hulu maana kwasasa Kama Kasi imepungua

View attachment 1066659

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kufananisha ata kidogo Nigeria na Tanzania , jamaa wako juu sana labda kwenye fitina zisizo na msingi tutakuwa tunawazidi , mkumbuke kocha wa Taifa stars ni Mnigeria
 
Wasanii wetu tuwape muda zaid
naamini huko watafika

Love and peace
 
Yaani nyie mnadiscuss yote hayo na kuponda watu, hamjui kuwa na lugha ni tatizo. Kiswahili huwezi kulinganisha na pidgins ya Nigeria.

"
Pidgins inaeleweka rahisi . Na mtu hasumbuki kuelewa kilichoimbwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pidgins inaeleweka kirahisi!!! Acha masihara basi
 
Back
Top Bottom