Drake Vs Kendrick Lamar

Drake ana nyimbo nyepesi. Mfano God's Plan imejirudia sana maneno. Kendrick kazi zake zote ngumu kumeza, unasikiliza wimbo mara kumikumi bado hujaelewa anamaanisha nini hasa. Chukua sample ya Kendrick.
Loyalty
Poetic Justice
Backsteat Freestyle
Love
m.A.A.d City
Swimming Pools
Rigamortis
 
Mkuu hapa kama upo sahihi aisee kuna muda nasema Kendrick wanaomuelewa wanatumia kigezo gani mgumu jamaa😀
 
Acha kumfananisha Kendrick na vitu vya kijinga...
Kendrick mashairi yake yana logic zaidi ya drake..
Kendrick ni fundiiiiiii🎈🎈🎈🎊
 
Ukizungumzia ukali katika game ya hip hop ni ngumu sana kuwaweka Kendrick na Drake katika sentensi moja.
 
Who is better Drake or Kendrick Lamar?
Kendrick is by far the superior rapper. His lyricism is at least 200x better than Drake's. With the use of double entendres, metaphors, similes and subliminal messages, he puts Drake's lyrical ability to shame. Kendrick also just has more interesting music.
 
Kwa kiswahili ndugu
 
Interview za Kendrick ni interesting kuliko hata nyimbo za Drake, Drake anazingatia trending wakati Kendrick anawekeza kwenye ubora....So Drake is not competent enough kuwa compared na Kendrick.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…