Drake Vs Kendrick Lamar

Drake Vs Kendrick Lamar

Sasa unaleta ugumu wakati mwenzio anapiga hela kwa mauzo na fan base kubwa?? Dunia ya sasa unacheza na kipi kinalipa hata kwa muda mfupi kuliko kipi kitaishi masikioni muda mrf halafu mkwanja wa kubip.
Kwenye maisha kila mtu ana kipaumbele chake, hata kwenye muziki ni hivyo hivyo, kuna ambaye anafanya muziki ili apate fame na pesa na kuna mwingine anafanya muziki anaou'feel kutoka moyoni mwake bila kujali kama atapata fame na pesa au lah..
Na hakuna hata mmoja kati yao anapata hasara, wote wananufaika kulingana na vipaumbele vyao.
 
You said it best.
 
A.M. to the P.M P.M. to the A.Mfunk
Piss out your per diem, you just gotta hate emfunk
If I quit your BM, I still ride Mercedes, funk
If I quit this season, I still be the greatest, funk
My left stroke just went viral
Right stroke put lil'baby in a spiral
Soprano C we like to keep it on a high note
Its levels to it, you and I know bitch be humble.

Mkulima wa mahindi
 
I hate people who feel entitled look at me crazy cause i ain’t invite you, ohh you important? You are the moral to the story, you endorsing? mufa*, i don’t even like you!

All the stars... Kendrick all the way!!!!!!
I hate people that feel entitled [emoji28]

Mkulima wa mahindi
 
afu ongezea
kendric hana njaa[emoji847][emoji23]
Kwenye maisha kila mtu ana kipaumbele chake, hata kwenye muziki ni hivyo hivyo, kuna ambaye anafanya muziki ili apate fame na pesa na kuna mwingine anafanya muziki anaou'feel kutoka moyoni mwake bila kujali kama atapata fame na pesa au lah..
Na hakuna hata mmoja kati yao anapata hasara, wote wananufaika kulingana na vipaumbele vyao.
 
Since ametoa `Best I ever Had` miaka kumi iliyopita alikuwa ni top Hip Hop rapper nilimuelewa kupitiliza ila kadri kukicha anabadilika na kupoteza ile ladha ya Hip Hop, hapa mimi namuelewa zaidi Kendrick ila pia Drake ana nasafi yake kwa ladha tofauti, Legend T.I ndio huwa namuelewa kipindi chote.
 
Drake ana nyimbo nyepesi. Mfano God's Plan imejirudia sana maneno. Kendrick kazi zake zote ngumu kumeza, unasikiliza wimbo mara kumikumi bado hujaelewa anamaanisha nini hasa. Chukua sample ya Kendrick.
Loyalty
Poetic Justice
Backsteat Freestyle
Love
m.A.A.d City
Swimming Pools
Rigamortis

Mimi nadhani kuwa Drake na Kendrick Lamar ni rappers ambao wanatakiwa wapewe heshima kubwa sana kwenye list ya hip hop duniani.
 
Since ametoa `Best I ever Had` miaka kumi iliyopita alikuwa ni top Hip Hop rapper nilimuelewa kupitiliza ila kadri kukicha anabadilika na kupoteza ile ladha ya Hip Hop, hapa mimi namuelewa zaidi Kendrick ila pia Drake ana nasafi yake kwa ladha tofauti, Legend T.I ndio huwa namuelewa kipindi chote.

Mimi nadhani pia tuangalie uwezo wa wasanii kuchangia kwenye game ya muziki wa HipHop, watu kama Jay Z, Kanye West, Birdman na Lil Wayne hawa ni wasanii waliochangia zaidi kwenye muziki wa HipHop kwa kuwapa wasanii wengine fursa za kujaribu ndoto zao kwenye game.
Fikria Mtu kama Jay Z ukiangalia mambo yote aliyoyafanya nyuma kuchangia kukuza vipaji vya wasanii unaweza ukataja njia alizotumia. Amewagundua watu kama Kanye West na badaae Kanye akatuletea Common na Big Sean. Birdman alituletea Lil Wayne na Juvenile na Wayne amewaleta watu kama Tyga, Drake na Nicki Minaj kwenye game. Kwahiyo mwisho wa siku swali kubwa ni ‘nani anajitoa zaidi kukuza vipaji kwenye game’ basi na sio suala la kulinganisha nani ni nani kwenye game.
 
A.M. to the P.M P.M. to the A.Mfunk
Piss out your per diem, you just gotta hate emfunk
If I quit your BM, I still ride Mercedes, funk
If I quit this season, I still be the greatest, funk
My left stroke just went viral
Right stroke put lil'baby in a spiral
Soprano C we like to keep it on a high note
Its levels to it, you and I know bitch be humble.

Mkulima wa mahindi

And in rap, having that classic album means absolutely everything dude.
 
Mimi nadhani pia tuangalie uwezo wa wasanii kuchangia kwenye game ya muziki wa HipHop, watu kama Jay Z, Kanye West, Birdman na Lil Wayne hawa ni wasanii waliochangia zaidi kwenye muziki wa HipHop kwa kuwapa wasanii wengine fursa za kujaribu ndoto zao kwenye game.
Fikria Mtu kama Jay Z ukiangalia mambo yote aliyoyafanya nyuma kuchangia kukuza vipaji vya wasanii unaweza ukataja njia alizotumia. Amewagundua watu kama Kanye West na badaae Kanye akatuletea Common na Big Sean. Birdman alituletea Lil Wayne na Juvenile na Wayne amewaleta watu kama Tyga, Drake na Nicki Minaj kwenye game. Kwahiyo mwisho wa siku swali kubwa ni ‘nani anajitoa zaidi kukuza vipaji kwenye game’ basi na sio suala la kulinganisha nani ni nani kwenye game.
Naku salute Mkuu umeongea fact sana, wengine tunaangazia kwa juu juu tu bila kujua undani wa mambo.
 
Ujue nini Mkuu It’s hard to truly figure out what makes one artist greater than another in a medium such as music, where there really is no one true quantitative measure of greatness. Yes, tunajua kuwa there are sales, Streaming numbers,Touring totals. Kwa mfano There are Grammys and Forbes’ “richest rapper” lists. But there are plenty of songs and albums that have topped charts Looking at u ya Flo-Rida ambayo the guy won Grammys pia Sorry ya Macklemore that weren’t universally or even moderately praised by rap fans as moving the culture forward or presenting bodies of work that are undeniably great mkuu.
 
Hhaaha ni kama people continue to argue about stats and moments of greatness kwenyeBball, the careers of Michael Jordan and LeBron James can be assessed based on championships. In the future, we’ll be able to straightforwardly assess the careers of soon-to-be top NBA draft picks Lonzo Ball and Markelle Fultz.
 
Both are overrated

Sent using Jamii Forums mobile app

Tuelewane kitu kimoja kwamba Chart success, which is based on an algorithm of sales plus on-demand streaming, doesn’t solely determine greatness. Otherwise, Flo-Rida and Nelly would be somewhere arguing over who’s the king of rap. Over the past year, it would be a battle between Migos, Future and Drake basi.
 
Drake hana msanij wa kufananishwa nae kwa Decade iliyoisha,anaongoza karibia kila kitu,,Drake ana impact kwao kuliko unavyodhani,,alaf Drake sio Mmarekani kumbuka,,lakini pia kinachopendwa na wengi ndo kizuri...mjamaa kashavunja record nyingi mno,ni jambo la kuheshimu sana,,,ila Kendrick ni mzuri sana kwenye kuielezea jamii na matatizo yake,Ken ni mkali ki'Lyrics na Metaphor kuliko Dreeze...
We gonna be Alright Gods plan

Drake sio mmarekani?!? So he is not citizen of US ?? Really ?? ...Acha hizo bana ...he has dual citizenship bana Canada na US ...baba American na mama Canadian..kwaiyo ana haki ya kuitwa mmarekani...
 
Back
Top Bottom