Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Kwenye maisha kila mtu ana kipaumbele chake, hata kwenye muziki ni hivyo hivyo, kuna ambaye anafanya muziki ili apate fame na pesa na kuna mwingine anafanya muziki anaou'feel kutoka moyoni mwake bila kujali kama atapata fame na pesa au lah..Sasa unaleta ugumu wakati mwenzio anapiga hela kwa mauzo na fan base kubwa?? Dunia ya sasa unacheza na kipi kinalipa hata kwa muda mfupi kuliko kipi kitaishi masikioni muda mrf halafu mkwanja wa kubip.
Na hakuna hata mmoja kati yao anapata hasara, wote wananufaika kulingana na vipaumbele vyao.