Drake Vs Kendrick Lamar

Drake Vs Kendrick Lamar

Tofauti ipo kubwa sana.

Mkuu drake hajawahi kumfikia kiuwezo Lamar katika sekta zote za ki hip hop yani flow, delivery, lyrics hata story telling...

1.kendrick Lamar
2. J.cole

Hao ndio rappers bora wa kizazi hiki
 
Drake sio mmarekani?!? So he is not citizen of US ?? Really ?? ...Acha hizo bana ...he has dual citizenship bana Canada na US ...baba American na mama Canadian..kwaiyo ana haki ya kuitwa mmarekani...
Kakaa nalijua hilo na alipata uraia wa USA baada ya Mixtape yake ya Room for improvement alipojitoa Canada teen Drama "The degrass",, But yule anajulikana zaidi ni Mcanada,King of Toronto.
 
Wasanii wangu pendwa kabisa..nashindwaga kuwa side yoyote ile..ingawa Lamar Jamani🤔
 
Tofauti ipo kubwa sana.

Mkuu drake hajawahi kumfikia kiuwezo Lamar katika sekta zote za ki hip hop yani flow, delivery, lyrics hata story telling...

1.kendrick Lamar
2. J.cole

Hao ndio rappers bora wa kizazi hiki
Simtetei sana Drake coz namkubali Lamar,,ila apo umelocha ariff,,Kimauzo iwe ya Album ya Hiphop au ngoma bora ya Hip 2 e' Hop Lamar hajawahi ata muona shati Dreeze
 
Kakaa nalijua hilo na alipata uraia wa USA baada ya Mixtape yake ya Room for improvement alipojitoa Canada teen Drama "The degrass",, But yule anajulikana zaidi ni Mcanada,King of Toronto.

Mkuu But chart success, which is based on an algorithm of sales plus on-demand streaming, doesn’t solely determine greatness. Otherwise, Flo-Rida and Nelly would be somewhere arguing over who’s the king of rap. Over the past year, it would be a battle between Migos, Future and Drake kaka.
 
Simtetei sana Drake coz namkubali Lamar,,ila apo umelocha ariff,,Kimauzo iwe ya Album ya Hiphop au ngoma bora ya Hip 2 e' Hop Lamar hajawahi ata muona shati Dreeze

Ebu tukubaliane jambo moja, ujue Drake occupies a unique space. Ni kweli He’s the king of rap, with chart success that has never been seen before Ever. In any genre.Albam yake ya More Life was streamed 90 million times on Apple music over the course of 24 hours. That’s close to a quarter of the population of the United States. Drake captivates millions with every release, But Drake’s lack of a perfect project has put a dent in his resume. He’s even alluded to his 2016 Views failing to read as a Classic, Drake mwenyewe aliwahi kusema kwamba. “It wasn’t my biggest album by any means, it wasn’t the one to me.” This isn’t to say that he’s incapable of eventually producing that masterpiece, but he’s weighed down by that glaring absence. Ujue A classic album needs to occupy only one of two important corners that sound simple but are rarely reached: premium, unforgettable quality or a phenomenon that redefines the culture.

Drake’s albums have been good to great, but each album has a flaw that keeps it from reaching that pinnacle of artistic greatness...... asante
 
Mkuu But chart success, which is based on an algorithm of sales plus on-demand streaming, doesn’t solely determine greatness. Otherwise, Flo-Rida and Nelly would be somewhere arguing over who’s the king of rap. Over the past year, it would be a battle between Migos, Future and Drake kaka.
Hongera kaka kwa kujua Kiingereza
 
Ebu tukubaliane jambo moja, ujue Drake occupies a unique space. Ni kweli He’s the king of rap, with chart success that has never been seen before Ever. In any genre.Albam yake ya More Life was streamed 90 million times on Apple music over the course of 24 hours. That’s close to a quarter of the population of the United States. Drake captivates millions with every release, But Drake’s lack of a perfect project has put a dent in his resume. He’s even alluded to his 2016 Views failing to read as a Classic, Drake mwenyewe aliwahi kusema kwamba. “It wasn’t my biggest album by any means, it wasn’t the one to me.” This isn’t to say that he’s incapable of eventually producing that masterpiece, but he’s weighed down by that glaring absence. Ujue A classic album needs to occupy only one of two important corners that sound simple but are rarely reached: premium, unforgettable quality or a phenomenon that redefines the culture.

Drake’s albums have been good to great, but each album has a flaw that keeps it from reaching that pinnacle of artistic greatness...... asante
Ni sawa
 
I hate people who feel entitled look at me crazy cause i ain’t invite you, ohh you important? You are the moral to the story, you endorsing? mufa*, i don’t even like you!

All the stars... Kendrick all the way!!!!!!
Tell me what you gon' do to me
Confrontation ain't nothin' new to me
You can bring a bullet, bring a sword, bring a morgue
But you can't bring the truth to me.

binti kiziwi yaan mdada kabisa afu unaelewe lyrics za kdot???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nas Escobar katika kibao chake kiitwacho “I know I can” katika beti ya mwisho moja
kati ya mistari yake anasema, “Read more, Learn More Change the Globe” akiwa na maana (kwa Kiswahili)
“Soma zaidi, jifunze zaidi uubadilishe ulimwengu''
 
binti kiziwi
Hip Hop ni sanaa ambayo huhusisha tanzu tatu za
sanaa. Je unazijua tanzu tatu za sanaa hahahaha
 
Hebu kwanza rudi nenda kaisikilize album ya Kendrick Lamar inayoitwa Hii Power, sikiliza ngoma kama rigamortis au Ronald Reagan era halafu ndio uje umpambanishe na huyo msafi drake. Kidogo ungemfananisha na J.Cole ila sio drake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu kwanza rudi nenda kaisikilize album ya Kendrick Lamar inayoitwa Hii Power, sikiliza ngoma kama rigamortis au Ronald Reagan era halafu ndio uje umpambanishe na huyo msafi drake. Kidogo ungemfananisha na J.Cole ila sio drake

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujue ni adabu mbovu kumfananisha drake na KL, Kumfananisha Drake na Kendrick Lamar ni sawa na kufananisha Kitambi na Mimba.
 
Back
Top Bottom