Drama mpya ya familia ya Diamond Platinumz.. Reflection ya family zetu

Jaman huyo mama mwenye watt wanne mbona anahangaika na hiko kivulana, wamanyema lazima wakae familia yote nyumba moja babu weeeee tunachunga mali za kaka. Jaman mama ameona atoe sifa zake
 
YA NGONSWE MWACHIE NGONSWE MWENYEWE hahahaaaaa
Ur very right wala usicheke. Tatizo apa ni umaarufu wa diamond otherwise hii situation ni ya kawaida sana kwenye relationship nyingi na inachangia migogoro kwenye mahusiano mengi.
 
Kinachotakiwa ni kwa Diamond kuacha kuchanganya kazi zake na familia.
Mambo ya familia ayaweke mbali na ndugu ....
Wao bioa ya shaka hao ma wifi wapo juu kwa sababu ya kaka yao sasa kumuingilia katika masuala ya mapenzi itakua kosa kubwa ..na linaweza kumuangusha katika kazi zake...hivyo diamond achunge ..weka mbali kazi na madada
 
diamond na mama tifa wamezidi ulimbukeni
jana wametupostia mavideo ya kijinga/ watakua lini hawa?

tabia hii diamond akiendelea nayo tunamchoka soon
watu tunataka kazi
mambo ya mapenzi mapenzi na zari wake social media hatutaki tumechoka...

na hilo zari tumemchoka sana kwakweli ,anajiskia mnooo
kujiona mrs superstar
 
Yani mwanaume fanya itu vyote ila bi mkubwa wako usiishi nae nyumba moja na kama hajamkubali msichana uliemletea itakua balaa kabisa yani....
 
Wa unfollow wote...
 
Haaa haaa haa...ESMA kupozi picha za insta kajua baada ya Zari kumtoa matongo tongo, nakumbuka kipindi kama miaka mitatu nyuma huyu demu alihojiwa kuhusu mafanikio ya brotha wake....huwezi amini alikuwa anatetemeka mpaka anataka kulia, but nowdays mmhhh....Zari kiboko[emoji23] [emoji12]
 
Yani hata wema hakufanikiwa kumbadilisha ha ha ha ha
 
Kuna vitu vinaitwa;

1. Single Parent Family
2. Neuclear Family
3. Extended Family
4. Polygamy (kama sikosei) Family.

Yaan Tandale na Mbagala rang3 wakishindwa kujua vitu ivyo basi watu wa Masaki,Obey na Mikochen bila kusahau watu wa mbezi (sio wale wa kule kama unaenda kuleeeee kama chalinze) hv lazima wakukalie kooni
 
Yani mwanaume fanya itu vyote ila bi mkubwa wako usiishi nae nyumba moja na kama hajamkubali msichana uliemletea itakua balaa kabisa yani....
Kumaliza ugomvi diamond atafute nyumba akakae na mkewe......hata sie babu alivyoenda kuishi kwa mkwe wakw tulisikia mengi ila binti wa watu hayupo hvyo.....
 
matumbo yetu yanabeba vitu vngi sana !!
 
Kuna kitu katika accounts kinaitwa separate entity concept. Hiyo ukishindwa kuiaply katika maisha ya kawaida basi lazima ufeli
Mkuu embu "I samarizi" hiyo separate entity concept [emoji2]
 
Yani hata wema hakufanikiwa kumbadilisha ha ha ha ha
Wema anapenda kupretend uzungu, while hapatii swaga hizo, coz alikimbia shule[emoji23] [emoji23] [emoji23] kabakia na ama ama yani yule nae walewale tu...kitu Zari kwanza anaishi south, pili maulaya anaenda kama kapata uchizi, pale lazima esma aigilizie viswaga vya mamtoni....
 
Kwan Zari aliyeenda shule ana elimu gan kwa mfano? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwan Zari aliyeenda shule ana elimu gan kwa mfano? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu Zari kabukua mpaka vitabu vinamuogopa...wema alikimbia shule, coz kichwani alikuwa anawaza Cinzano na mapedeshee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…