muke ya mtu
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 295
- 186
Jaman huyo mama mwenye watt wanne mbona anahangaika na hiko kivulana, wamanyema lazima wakae familia yote nyumba moja babu weeeee tunachunga mali za kaka. Jaman mama ameona atoe sifa zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ur very right wala usicheke. Tatizo apa ni umaarufu wa diamond otherwise hii situation ni ya kawaida sana kwenye relationship nyingi na inachangia migogoro kwenye mahusiano mengi.YA NGONSWE MWACHIE NGONSWE MWENYEWE hahahaaaaa
Bojoo ota iweMmmh ...
Yaani yule mama ana matatizo kwel kwel ni waswahil hasa wa tandale wao kila mkwe ni mbaya kwao labda wanataka walale na uyo diamond ndo kilichobak wanawivu mpaka bac lol
Hahahaha... nilio...Bojoo ota iwe
Wa unfollow wote...diamond na mama tifa wamezidi ulimbukeni
jana wametupostia mavideo ya kijinga/ watakua lini hawa?
tabia hii diamond akiendelea nayo tunamchoka soon
watu tunataka kazi
mambo ya mapenzi mapenzi na zari wake social media hatutaki tumechoka...
na hilo zari tumemchoka sana kwakweli ,anajiskia mnooo
kujiona mrs superstar
Haaa haaa haa...ESMA kupozi picha za insta kajua baada ya Zari kumtoa matongo tongo, nakumbuka kipindi kama miaka mitatu nyuma huyu demu alihojiwa kuhusu mafanikio ya brotha wake....huwezi amini alikuwa anatetemeka mpaka anataka kulia, but nowdays mmhhh....Zari kiboko[emoji23] [emoji12]Anatakiwa amshukuru sana zari, esma alikua mchafu chafu anapost picha miguu ina vumbi anavaa lonya, sahivi nae kawa msafi anajua na kupaka make up amshukuru sana zari kuna ile picha alienda kupima ngoma akaitupia vidole vyangu miguu vipo kama tangawizi kucha chafu leo hata rangi anapaka teh teh oooh
Yani hata wema hakufanikiwa kumbadilisha ha ha ha haHaaa haaa haa...ESMA kupozi picha za insta kajua baada ya Zari kumtoa matongo tongo, nakumbuka kipindi kama miaka mitatu nyuma huyu demu alihojiwa kuhusu mafanikio ya brotha wake....huwezi amini alikuwa anatetemeka mpaka anataka kulia, but nowdays mmhhh....Zari kiboko[emoji23] [emoji12]
mbona kitamboWa unfollow wote...
Kumaliza ugomvi diamond atafute nyumba akakae na mkewe......hata sie babu alivyoenda kuishi kwa mkwe wakw tulisikia mengi ila binti wa watu hayupo hvyo.....Yani mwanaume fanya itu vyote ila bi mkubwa wako usiishi nae nyumba moja na kama hajamkubali msichana uliemletea itakua balaa kabisa yani....
Kwa mujibu wa imani yao ya kiislamu hao bado ni mahawara.kisheria kukaa na mtoto wa mtu zaid ya miez 6 ni mkeo kibaya zaid au kizur wana mtoto patamu hapo
matumbo yetu yanabeba vitu vngi sana !!diamond na mama tifa wamezidi ulimbukeni
jana wametupostia mavideo ya kijinga/ watakua lini hawa?
tabia hii diamond akiendelea nayo tunamchoka soon
watu tunataka kazi
mambo ya mapenzi mapenzi na zari wake social media hatutaki tumechoka...
na hilo zari tumemchoka sana kwakweli ,anajiskia mnooo
kujiona mrs superstar
Mkuu embu "I samarizi" hiyo separate entity concept [emoji2]Kuna kitu katika accounts kinaitwa separate entity concept. Hiyo ukishindwa kuiaply katika maisha ya kawaida basi lazima ufeli
Wema anapenda kupretend uzungu, while hapatii swaga hizo, coz alikimbia shule[emoji23] [emoji23] [emoji23] kabakia na ama ama yani yule nae walewale tu...kitu Zari kwanza anaishi south, pili maulaya anaenda kama kapata uchizi, pale lazima esma aigilizie viswaga vya mamtoni....Yani hata wema hakufanikiwa kumbadilisha ha ha ha ha
Kwan Zari aliyeenda shule ana elimu gan kwa mfano? [emoji23][emoji23][emoji23]Wema anapenda kupretend uzungu, while hapatii swaga hizo, coz alikimbia shule[emoji23] [emoji23] [emoji23] kabakia na ama ama yani yule nae walewale tu...kitu Zari kwanza anaishi south, pili maulaya anaenda kama kapata uchizi, pale lazima esma aigilizie viswaga vya mamtoni....
Mkuu Zari kabukua mpaka vitabu vinamuogopa...wema alikimbia shule, coz kichwani alikuwa anawaza Cinzano na mapedeshee...Kwan Zari aliyeenda shule ana elimu gan kwa mfano? [emoji23][emoji23][emoji23]