Drama mpya ya familia ya Diamond Platinumz.. Reflection ya family zetu

Tunda hata siku moja alianguki mbali na mti wake labda itokee tu ndege kaiba hilo tunda na kwenda kulitupa kwingine. Anayofanya Diamond na dada zake chanzo ni Mama yao. Yule Mama anaelekea alivyokuwa kijana alikuwa hajitambui na ndiyo maana baba halali wa watoto wake hawajulikani kwani kila mwanaume wa hajabu anadai fulani mimi ndiye baba yake halali. Kwa kweli nasikitisha sana.
 
Domo anajivunjia heshima......ka Esma kenyewe kalipigwa talaka na sasa anaishi kwa uchungu wa kuachika, eti anamkuwadia Kaka yake (kama ni kweli) mashangingi. Yaani dada kaiga tabia za Mama na kaka hivyo hivyo. Kweli asili haipotei. Hongera Domo na familia yako.
 

Mbona nimeingia kwa kchwapanzii,naona wimbo mpya wa dai,hamisa ni video qeen?!!

Hebu kacheki!
 
Mbona nimeingia kwa kchwapanzii,naona wimbo mpya wa dai,hamisa ni video qeen?!!

Hebu kacheki!

Wapi hapo ulipokwoti nimemuongelea huyo hamiswaaa??? Hiyo ndio umeiona leo??? Ilishazunguka tanguuuu... Unafikiri sijui drama laoooo au hata nini...mie nipo busy na hao washampepe wasionashukurani ustaaa wa D wanajisahau...mama mtu na dadake. Nasema tena Zari kiboko yao... Waliraka kumrusha roho atimke wameshushukaaaaaaaaa aibu
 
Huyo dem Zari nae kuingia hapo alikaza moyo,
Kamama ka mwendokasi kutembelea nyota ya kijana watakua vijana tandale wanapakua bando la tigo tu.
Ndomo kashindwa kuishi classy ndio maana hawa ndembe ndembe wanampelekesha
 
Ana nyumba nyingi? [emoji3] [emoji23] [emoji23] anashindwa tenga nyumba moja kwa ajili ya mama!
 
Nimeangalia ile video ya bafuni na domo yule Dada hajielewi sasa hapo familia itakupendaje MTU mzima hujiheshimu, ukute huyu hata mbele ya mkwewe anayafanya hayo ndo mana wanachukia Hana aibu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…