Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zari ni kiboko yao, wanaweweseka haswaaaa...walipo nae kachangia wakafika wanajisahau wanataka nao wawe level moja na anayempasha joto mwanae/mdogo...hawajui kuna mipaka sasa wataitambua...waache waachane wao kama imepangwa iwe hivyo.
Ila nahamu Zari arushe maneno yake masaa yoteeeee....ndio raha ya kutoka na mwanamke ambaye ameshaonja mahusiano na hata maisha ya kindoa...angekuwa na akina .com mbona tungeona .com kashabeba mwanaume mwingine kuringishia hao wadaku....
Go Zari, Go Zari....
Mbona nimeingia kwa kchwapanzii,naona wimbo mpya wa dai,hamisa ni video qeen?!!
Hebu kacheki!
kwani kuolewa inabadilisha nn ? mbona kuna watu wameolewa hila nyumba zao hazikaliki kwa ugomviuhawara sio lazima upendwe kwani kaolewa?
NJOO SHAMBA UPATE SURUBANigawie mavuno ya shambani
Nini shida?Cyber kraimu?Same here dearest,miss you more.
Siku hizi sina mzuka na JF kabisaaaa...
Wakukurupuka upo...Imedhiilika = imedhihirika
Wema ni form four, na alivomaliza alitaga....Mkuu Zari kabukua mpaka vitabu vinamuogopa...wema alikimbia shule, coz kichwani alikuwa anawaza Cinzano na mapedeshee...
Ana nyumba nyingi? [emoji3] [emoji23] [emoji23] anashindwa tenga nyumba moja kwa ajili ya mama!Full drama.hii familia looh inataka kunishinda.Zari ilikuaje ukatoka hukooo kuja kuangukia kwa hawa watu?kila mwanamke analalamika kushindwa kuishi na hiyo familia juu ya visa na vituko vya mama na mwanae.solution huyo mama mkwe na wifi mtu si wawapishe hao kina Dee na Zee wao wakaishi kwao?Mond ana mijumba mingapi buanaaaa?
Siyo wa Deeen yetuDuuuh,adimu sana kwenye post za JPM tofauti na za JK!
Si ndo na mimi naposhindwa kumshangaaAna nyumba nyingi? [emoji3] [emoji23] [emoji23] anashindwa tenga nyumba moja kwa ajili ya mama!
Nimeangalia ile video ya bafuni na domo yule Dada hajielewi sasa hapo familia itakupendaje MTU mzima hujiheshimu, ukute huyu hata mbele ya mkwewe anayafanya hayo ndo mana wanachukia Hana aibu kabisawapumbavu wote !!MTU km zari Mwenye watoto watano upumbavu anaoufanya na kuna mijitu eti inamfagilia yaaani mi nasema km ule ndo umaarufu'naomba niendelee kua mchimba chumvi'jtu Lina mitoto minne bado linajidhalilisha vile mxxxxxiuuuuu!!
Mungu nusuru kizazi changu!!
Jamani mbona huyo esma anaonekana ni mdada mstaarabu