Imedhiilika = imedhihirika
Mahawara hawaachi mkuu ukijumlisha wana mtoto mdogo kabisaMajay alisha mwacha Mabeto sasa yuko na Lulu.
Tunaoijua kazi ya zamani ya mamake D,hatumshangaiHivi huyu mama lengo lake ni kumuumiza zari au mwanae? Kwanini asingeacha watoto wakaparangana nayo wenyewe, me kanichosha!
Sio kweli. Petit ni kama tai huwezi kumkuta pasipo na mzoga.kwa maneno mengine wanadai madam range kafulia so bata na matumizi ya kijinga kaacha.sasa Petit ni kupe.abaki kubeba pochi za wema bila mshahara kwani ndugu yake yule?unaambiwa black tie hakukua na ushost kila mtu aliambiwa anunue ticket so wale waliozoea vya bure hawakuzamia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani kabida inamfaa hiyo, maana na Petit inaelekea kajitambua na kuacha kubeba zile pochi...hakusapoti kabisa black tie
Sio kweli. Petit ni kama tai huwezi kumkuta pasipo na mzoga.kwa maneno mengine wanadai madam range kafulia so bata na matumizi ya kijinga kaacha.sasa Petit ni kupe.abaki kubeba pochi za wema bila mshahara kwani ndugu yake yule?unaambiwa black tie hakukua na ushost kila mtu aliambiwa anunue ticket so wale waliozoea vya bure hawakuzamia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mweeeh mheshumiwa Yohana Mapadlock mbona umekuja kwa kasi na kuziba kila mlango wa rizki[emoji24] [emoji24] [emoji24]Unaandika kutetea kwa maneno ka vile unamwandikia asiyeyaona..duh!!!!!
Kweli kabisa eti kiingilio ndio iwe sababu???
Mbona kabla kulikuwa hakuna sapoti?... Wamemchoka wamemkimbia... Wamejitambua...
Madam kachacha, black tie wameingia hasara...ticket walishusha bei usiku huo ili wasibaki na makaratasi yao mkononi...bado haikuwa vileeeee...hadi tano sijui sita usiku wanasaka watu waje waingie ...siku ya mwisho aliomba hadi kusema atapokea yeye simu mtu akipiga kununua ticket...so lazima wajifunze kuwa celebs...kipindi chake cha kupeta kimeisha.. siku ingine afanye event ya bei ndogo fans wake wamjazie ukumbi na ticket wauze ndani ya madakika...
Mweeeh mheshumiwa Yohana Mapadlock mbona umekuja kwa kasi na kuziba kila mlango wa rizki[emoji24] [emoji24] [emoji24]
We nawe ka taahira flani amaizing, sasa ww ndo Yohana mapdlock? Kama huelewi uliza basi arggg ur disgust bana. Unazibaje rizik kwa mfano?Nikucheke wewe ukweli unauma hata uniitaje...hii ndio JF. Eti naziba riziki unatia aibu kwa kuandika uliyoandika kaa hapo ulipo na bado
Afu wee boya nini khaaaa we ndo mheshmiwa Yohana Mapadlock??una uheshmiwa gani far -la wewe?usidandie visivyokuhusu na usitafute kiki coz hapa kwangu utaambulia makavu tu na matusi nipigwe ban.bloody kenge mmoja usiejielewa weweNikucheke wewe ukweli unauma hata uniitaje...hii ndio JF. Eti naziba riziki unatia aibu kwa kuandika uliyoandika kaa hapo ulipo na bado
hahaaaaWe nawe ka taahira flani amaizing, sasa ww ndo Yohana mapdlock? Kama huelewi uliza basi arggg ur disgust bana. Unazibaje rizik kwa mfano?
hahaaaa! majibu yenu kuhusu Yohanna Mapadlock, yamenifanya nicheke kweli. Kweli uwezo wa kupambanua mambo unatofautianaAnd for the record hebu uliza who is My.Yohana Alcohol Ma-padlock cc Mzurimie
Looh umbea huu mtamu, huyo mama mond nae yatamshinda kuingilia ndoa ya mwanae wakat yake ilimshinda, ila nyie zari kiboko, sijui anampaga nn mond, yan baba ubaya kafa kaoza pale loh kwel zari kiboko ya mondmzurimie umeona povu la Esma insta? Na mama yake kapost sasa hivi anasema uzalendo kwanza, kaweka picha ya Wema . .. Kuolewa familia zingine ni majanga kwa kweli
mi mwenyew nashangaa,leo wema kama mzuri kama sio kujishaua nn, huyo bibi kwwnza atafute mume aolewe amuache domo wa watu na zari wakeHii familia kwakweli ningekua mie zari ningeshapigana n wifi. Familia ya kiswahili swahili mama mtu n esma waswahili jmn. Yan kukaa nyumba 1 n mume km wahindi ndo shida hyo. Mama mkwe kakae kwako 2kutembelee. Ss apo tiffah anakua ktk mazngira gan. Vibibi vngne khaaaaa. Mama mkwe gubu n wifi naye gubu mara dufu. Ndio maana wema alikua akimsema huyu mama. Leo hii wema kawa mwema
Queen darling lile jike dume,halinaga mda na mtu,lile jembe kauzuhawana kazi , mbona husikii ueen darleen anagombana na mtu
Ntaenda madale kuwatoa akina esma wakakae kwa mabwana zao akina petii, wamuachie zari mjengo wake ajimwageKuolewa kwenye familia za kiswazi ni shughuli pevu