venine
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 1,458
- 1,569
Hii ndio tabu ya ku-date vijana wadogo. Wakati wewe (mwanamke) unataka kutulia na kulea watoto, mwenzio (mwanaume) ndio kumekucha anataka kutumbua maisha. Dai ndio wakati wake wa kula ujana, simlaumu kwa hilo.
Kuhusu mama na wifi, hiyo inareflect uhalisia wa maisha ya TZ. Family nyingi zipo hivyo, na wanaume wengi hamtaki hata kusikia mama zenu wakikosolewa. Hapo Zari ataambiwa mvumilie tu huyo ni mama. Na uki-opt kugombana na mama ni kumuweka mume katika hali ngumu maana hataweza kumtetea yoyte kati yenu. Dawa ni wanaume kutokuishi under the same roof na mama zenu