Drama mpya ya familia ya Diamond Platinumz.. Reflection ya family zetu

Looh hiv kwanza wanapikaje jaman familia yote ile khaa, na zari anayaweza naona kuna wakat anamkumbuk mumewe ivan, sio kwa timbwil la kina esma
 
Mweeeh mheshumiwa Yohana Mapadlock mbona umekuja kwa kasi na kuziba kila mlango wa rizki[emoji24] [emoji24] [emoji24]

Unachekesha sana sana kama umeandika halafu ukashindwa kujitambua jua wewe ni na kasoro fulani....unafikiri kuweka majina ya Mheshimiwa kwa kiswahili ndio ningeogelea nawe....umejaa matatizo unarushia wengine ndio ujue kuna klasi na klasi sio kujifanya unajua kuandika huku unamwandika na kunisema....utaota na magugu ukome
 
And for the record hebu uliza who is My.Yohana Alcohol Ma-padlock cc Mzurimie


Hahahaaaa ukiona mtu hataki kumwagika nawe nawe utumie akilinupite...jifunze kuandika acha kujifanya mjuaji....unafikiri unajua kupiga misele...kaa mkao uonyeshwe watubwengine wa aina yangu tukiamua...hiloooooo...chukua na singi kubwa....ukishitiwa jiulize y...kakuze magugu huko
 
hahaaaa

hahaaaa! majibu yenu kuhusu Yohanna Mapadlock, yamenifanya nicheke kweli. Kweli uwezo wa kupambanua mambo unatofautiana

Kamsome alichoandika sio kujifanya anajua kufumba na aachiwe kalaleni mbele wajuaji... Kabla vibatari havijaisha
 

Beautifulyou nimevunjika mbavu kwa kunipa furaha, Bombaaaaa.

One day tutapanga pm bcoz nitapenda kukufahamu,
hata iweje. Humu jamiiforum unasimamia lako bila kupinda, na sisahau kabisa wewe ni Diamond number one fan humu , nice one lady.
 
We nawe ka taahira flani amaizing, sasa ww ndo Yohana mapdlock? Kama huelewi uliza basi arggg ur disgust bana. Unazibaje rizik kwa mfano?
Nisaidie ndugu yangu.huyo ma.vi kala maharage yaliojaa anakuja kuniharishia mimi.[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Mangeee akasema walishahama ila wa napenda kushinda Madale..kazi.kwelikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…