Segito wa Kalenga
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 609
- 864
Eti binamu,WHO IS YOHANA ALCOHOL MAPADLOCK???Queen darling lile jike dume,halinaga mda na mtu,lile jembe kauzu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti binamu,WHO IS YOHANA ALCOHOL MAPADLOCK???Queen darling lile jike dume,halinaga mda na mtu,lile jembe kauzu
Si ushabiki tu, yeye mwenyew zaman alikua anamchamba wema leo hii wanamuona mzuriYule Mama nae kichwa maji yani amuonei mwanae huruma anataka amrudie Wema?
Ahame kwakweli akakae na mbeba pochi wakeNtaenda madale kuwatoa akina esma wakakae kwa mabwana zao akina petii, wamuachie zari mjengo wake ajimwage
Kutwa midomo juu kumsakama zari wa watuAhame kwakweli akakae na mbeba pochi wake
Mweeeh mheshumiwa Yohana Mapadlock mbona umekuja kwa kasi na kuziba kila mlango wa rizki[emoji24] [emoji24] [emoji24]
And for the record hebu uliza who is My.Yohana Alcohol Ma-padlock cc Mzurimie
hahaaaa
hahaaaa! majibu yenu kuhusu Yohanna Mapadlock, yamenifanya nicheke kweli. Kweli uwezo wa kupambanua mambo unatofautiana
Hahahaaaa ukiona mtu hataki kumwagika nawe nawe utumie akilinupite...jifunze kuandika acha kujifanya mjuaji....unafikiri unajua kupiga misele...kaa mkao uonyeshwe watubwengine wa aina yangu tukiamua...hiloooooo...chukua na singi kubwa....ukishitiwa jiulize y...kakuze magugu huko
Nisaidie ndugu yangu.huyo ma.vi kala maharage yaliojaa anakuja kuniharishia mimi.[emoji15] [emoji15] [emoji15]We nawe ka taahira flani amaizing, sasa ww ndo Yohana mapdlock? Kama huelewi uliza basi arggg ur disgust bana. Unazibaje rizik kwa mfano?
Mangeee akasema walishahama ila wa napenda kushinda Madale..kazi.kwelikweliFull drama.hii familia looh inataka kunishinda.Zari ilikuaje ukatoka hukooo kuja kuangukia kwa hawa watu?kila mwanamke analalamika kushindwa kuishi na hiyo familia juu ya visa na vituko vya mama na mwanae.solution huyo mama mkwe na wifi mtu si wawapishe hao kina Dee na Zee wao wakaishi kwao?Mond ana mijumba mingapi buanaaaa?