Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - KikweteKuna nini tena jamani!??? Kwani Askofu Gwajima amesema anachukua fomu ya Urais 2025!??? Mbona Bi Mkubwa anaanza kupaniki!???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - KikweteKuna nini tena jamani!??? Kwani Askofu Gwajima amesema anachukua fomu ya Urais 2025!??? Mbona Bi Mkubwa anaanza kupaniki!???
Naona wao ni kiteknolojia zaidi -- wanastruggolia mtandaoniNdio maana jamaa yenu kigogo kawashtukia,
Kwa hiyo yeye lema anafanyaje ili msitolewe kwenye mjadala wenu wa katiba?
Taliban hawakuwa na hashtag wala space ya maria ila wamwfanikiwa kwenye malengo yao.
Zambia wapinzani wameshinda bila katiba mpya,
Machadema mnafeli wapi?
CHADEMA wanafeli kwenye ubongo: hawana akili!Ndio maana jamaa yenu kigogo kawashtukia,
Kwa hiyo yeye lema anafanyaje ili msitolewe kwenye mjadala wenu wa katiba?
Taliban hawakuwa na hashtag wala space ya maria ila wamwfanikiwa kwenye malengo yao.
Zambia wapinzani wameshinda bila katiba mpya,
Machadema mnafeli wapi?
Chadema haifanyi mambo yake kwa sababu ya watu fulani tu , hii ni taasisi kubwa mno !Ndio maana jamaa yenu kigogo kawashtukia,
Kwa hiyo yeye lema anafanyaje ili msitolewe kwenye mjadala wenu wa katiba?
Taliban hawakuwa na hashtag wala space ya maria ila wamwfanikiwa kwenye malengo yao.
Zambia wapinzani wameshinda bila katiba mpya,
Machadema mnafeli wapi?
Matusi na uchawi ndio njia pekee ya masikini kujiliwazaCHADEMA wanafeli kwenye ubongo: hawana akili!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa jamaa ni maloserCHADEMA wanafeli kwenye ubongo: hawana akili!
endelea kujidanganyaLema anatakaga atrend yeye na cdm yake tu, wengine wakitrend huona wanaonewa! Wivu mkali sana huo.
Hivi wewe una akili kiasi gani kwa mfano?Matusi na uchawi ndio njia pekee ya masikini kujiliwaza
Huna hoja ! hivi shule uliyosoma haikuwa na mwl wa hesabu ? mbona bado anafundisha tu , kwani yeye hataki uwaziri ?Hivi wewe una akili kiasi gani kwa mfano?
Hebu solve hili swali la hesabu we kamanda wa mtandaoni:
What is the size of the angle between the two lines 3x-2y+1=0 and x-3y=0 (answer in degrees and minutes).
Kamanda umeshindwa kujibu swali la hesabu 🤣🤣🤣!Huna hoja ! hivi shule uliyosoma haikuwa na mwl wa hesabu ? mbona bado anafundisha tu , kwani yeye hataki uwaziri ?
Shauri yake.Uchafu wote umeshitukiwa kudadeki !
Zambia waliandika katiba yao mwaka 1964 baadae mwaka 1991 wakati wanapokea vyama vingi waliandika katiba mpya tena ambayo ilikuwa katiba Bora sana kabla ya katiba ya katiba ya kenya.Ndio maana jamaa yenu kigogo kawashtukia,
Kwa hiyo yeye lema anafanyaje ili msitolewe kwenye mjadala wenu wa katiba?
Taliban hawakuwa na hashtag wala space ya maria ila wamwfanikiwa kwenye malengo yao.
Zambia wapinzani wameshinda bila katiba mpya,
Machadema mnafeli wapi?
Hivi kwa nini Lema hakusoma?
Na wanaotumia mabomu ya machozi na marisasi wenyewe wanafeli wapi ?CHADEMA wanafeli kwenye ubongo: hawana akili!
CCM wanafeli makalioni hawana marindaCHADEMA wanafeli kwenye ubongo: hawana akili!
Hakuna FREE and FARE GAME,wakiruhusu CHADEMA watashinda mapema saanaNdio maana jamaa yenu kigogo kawashtukia,
Kwa hiyo yeye lema anafanyaje ili msitolewe kwenye mjadala wenu wa katiba?..
Lakini wameuza nchi yao kwa Mchina, stupid and fool can .Zambia waliandika katiba yao mwaka 1964 baadae mwaka 1991 wakati wanapokea vyama vingi waliandika katiba mpya tena ambayo ilikuwa katiba Bora sana kabla ya katiba ya katiba ya kenya...