Drama ya Dkt. Gwajima dhidi ya Pst. Gwajima ni mkakati wa CCM kunyamazisha sakata la Mbowe na katiba Mpya

Chadema haifanyi mambo yake kwa sababu ya watu fulani tu , hii ni taasisi kubwa mno !
Chadema ya sasa ni kagenge ka wahuni fulani tu wenye interest zao binafsi wanaoitumia chadema km conduit ya kufanikisha mambo yao, hao wengine ni manyumbu fuata upepo tu.
 
Anatuchagulia trend na tuturedishe nini!
Aache tuisho tupendavyo hiyo free sijui manini inamlipa yeye kama mdau sisi hatufaidi chochote frm it.

#freelemafromukimbizini#

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: mmh
Chadema haifanyi mambo yake kwa sababu ya watu fulani tu , hii ni taasisi kubwa mno !
Jamaa aliposema chadema hakuna akili hapo juu ulipaswa kumwelewa, hata hili mnalolishupalia kila mara kwamba chadema ni taasisi kubwa, sijui ina watu sio mtu ni moja ya kukoswa akili kwa kujifariji vitu vya uongo!
Chadema ni kama darasa la chekechea "C"
Neglible class but wapiga kelele shuleni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: nao
Ushauri wangu kwenu wahafidhina, huu ni wakati muhimu kwenu kuunga juhudi Katiba Bora kwa masilahi mapana ya taifa letu.Hayupo Tena mmoja mwenye nguvu za kipekee mfalme CCM kupangia watu vyeo.Naona power strangle inaipasua CCM.
 
Ivi anatweet akitokea nchi Gani huyu?
 
Zambia waliandika katiba yao mwaka 1964 baadae mwaka 1991 wakati wanapokea vyama vingi waliandika katiba mpya tena ambayo ilikuwa katiba Bora sana kabla ya katiba ya katiba ya kenya...
Kwahiyo kumbe umasikini wa Zambia haukuletwa na Tume ya Uchaguzi wala Katiba ?

Kwanini Zambia bado ni takataka kiuchumi ?
 
Dr Gwajima sio waziri wa kwanza kusema mtu akamatwe..Gwajima mchungaji akajibu tuhuma tu..maisha yaendelee..Lazima tuheshimu mamlaka iliyopo maana mamlaka zinatoka kwa Mungu..
 
Rudi nyumbani uje umpambanie M wenyekiti.
Mwendazake hayupo bado unasubiri nini?
 
Reactions: mmh
Rudi Tz tudai katiba kwa pamoja. Vinginevyo shut up your mouth
 
Rudi Tz tudai katiba kwa pamoja. Vinginevyo shut up your mouth
CCM ni Kama mkoloni mapambano dhidi yake yanahitaji mbinu na mikakati ya ziada, Walio nje ya Tanzanian wanamchango mkubwa Sana kupaza sauti.
 

Hawa jamaa bado hawajajifunza namna ya kuunda “political party machines” zenye nguvu kuanzia ngazi ya matawi mpaka taifa.

Sielewi hata ushirikiano wao na vyama vya nchi nyingine kama Ujerumani nk unawasaidia nini.

Wanatakiwa waajiri consultants kwa hili la sivyo hawafiki popote.

Chama cha siasa hakiwezi ku survive bila itikadi inayoeleweka na yenye mikakati, uchumi mzuri, na rasilimali watu makini katika ngazi zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…