Draw ya kombe la shirikisho Africa kuchezwa leo.

Draw ya kombe la shirikisho Africa kuchezwa leo.

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Wapenzi na mashabiki wa Simba leo wanasubiri kwa hamu kujua Simba kukutana na timu zipi hatua ya makundi Kombe la shirikisho Africa.
Majibu yatapatikana kuanzia saa nane mchana.

Wanaotaka kufuatilia live YouTube andika

"CAF DRAW TODAY " wanaendelea mubashara
Updates hii ndo kundi Simba imepangwaView attachment 2060540
 
Draw ifanyike ili tuanze harakati za kuwabeba Utopolo kwa points tutakazovuna baada ya kuongoza kundi ili nao mwakani waweze kushiriki michuano ya Kimataifa.

Tuzidi kuwaelimisha kua Mapinduzi sio michuano ya kimataifa. Wasubiri mbeleko yetu sababu ubingwa wa NBC PremierLeague ni wetu pia
 
Nashauri Mwaka huu tumgawie utto jazz band nafac ili ajihis nae alishawah ingia hatua ya makundi
 
Bora ipangwe ili hao watalii waende kukamilisha ratiba
 
Wanaotaka kuangalia live ingieni YouTube andika "CAF draw today " wanaendelea live
 
Wanaotaka kuangalia live ingieni YouTube andika "CAF draw today " wanaendelea live
Tayari
IMG-20211228-WA0016.jpg
 
Back
Top Bottom