njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Naam, ile DRAW ya vibonde wa Champions League waliotupwa huko Shirikisho, ambapo inabidi wacheze play offs, inachezeshwa kesho kutwa jijini Cairo saa 10 jioni saa za Kibongo.
Draw hiyo itakuwa na vibonde kama TP Mazembe, La Passe, Young Africans, Kwara UTD, Plateu, Zesco n.k. Hatma ya vibonde hao kuungana na manguli kama Pyrmaids na Berkane itaanza kujulikana 2/11/2022 kwa mechi ya kwanza, kisha marudiano ni tarehe 09/11/2022.
Ikumbukwe vibonde hawa waliofumurushwa Champions League wanakutana wenyewe kwa wenyewe, hawakutani na wale manguli wa Shirikisho.
Pia POTs zitawekwa kutokana na wingi wa alama za CAF, yaani cheo cha huko CAF (ranks). Kwa mfano kuna timu sugu ina alama 0.5, hii itakuwa POT 4 na vilaza kama La Passe ya Shelisheli iliyopigwa 16-2 na Mamelodi ikisalimika sana itakaa POT 3, sababu kuna vilaza wapya waliokuwa hawana alama kabisa kama Plateu UTD. Kwara UTD nao wameingia ila POTs za juu huko kuna De Agosto, Mazembe na wengineo, blah..blah... blah.
MASAHIHISHO: VIBONDE 16 WATAKUTANA NA 16 BORA WALIOFUZU SHIRIKISHO ILA POTS ZITAPANGWA KUTOKANA NA UBORA WA TEAMS YAANI POINTS ZA CAF SO KAMA TEAM YAKO INA 0.5 POINTS IKIANGUKIA POT 3 USISHANGAE IKAKUTANA NA BERKANE ***