Draw ya Yanga Shirikisho kufanyika Cairo keshokutwa Jumanne

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Naam, ile DRAW ya vibonde wa Champions League waliotupwa huko Shirikisho, ambapo inabidi wacheze play offs, inachezeshwa kesho kutwa jijini Cairo saa 10 jioni saa za Kibongo.

Draw hiyo itakuwa na vibonde kama TP Mazembe, La Passe, Young Africans, Kwara UTD, Plateu, Zesco n.k. Hatma ya vibonde hao kuungana na manguli kama Pyrmaids na Berkane itaanza kujulikana 2/11/2022 kwa mechi ya kwanza, kisha marudiano ni tarehe 09/11/2022.

Ikumbukwe vibonde hawa waliofumurushwa Champions League wanakutana wenyewe kwa wenyewe, hawakutani na wale manguli wa Shirikisho.

Pia POTs zitawekwa kutokana na wingi wa alama za CAF, yaani cheo cha huko CAF (ranks). Kwa mfano kuna timu sugu ina alama 0.5, hii itakuwa POT 4 na vilaza kama La Passe ya Shelisheli iliyopigwa 16-2 na Mamelodi ikisalimika sana itakaa POT 3, sababu kuna vilaza wapya waliokuwa hawana alama kabisa kama Plateu UTD. Kwara UTD nao wameingia ila POTs za juu huko kuna De Agosto, Mazembe na wengineo, blah..blah... blah.

MASAHIHISHO: VIBONDE 16 WATAKUTANA NA 16 BORA WALIOFUZU SHIRIKISHO ILA POTS ZITAPANGWA KUTOKANA NA UBORA WA TEAMS YAANI POINTS ZA CAF SO KAMA TEAM YAKO INA 0.5 POINTS IKIANGUKIA POT 3 USISHANGAE IKAKUTANA NA BERKANE ***

draw shirikisho.JPG
 
Naam ile draw ya vibonde wa champions league waliotupwa huko shirikisho ambapo inabidi wacheze play offs inachezeshwa keshokutwa jijini cairo saa 10 jioni saa za kibongo

Draw hiyo itakuwa na vibonde kama tp mazembe, la passe,yanga africans,kwara utd,plateu ,zesco...nk , hatma ya vibonde hao kuungana na manguli kama pyrmaids na berkane itaanza kujulikana 2/11/2022 kwa mechi ya kwanza kisha marudiano ni tarehe 09/11/2022

Ikumbukwe vibonde hawa waliofurushwa champions league wanakutana wenyewe kwa wenyewe hawakutani na wale manguli wa shirikisho

Pia pots zitawekwa kutokana na wingi wa points za CAF yaani cheo cha huko CAF ..ranks...kwa mfano kuna team sugu ina 0.5 points hii itakuwa POT 4 na vilaza kama la passe ya shelisheli iliyopigwa 16-2 na mamelodi, ikisalimika sana itakaa pot 3 sababu kuna vilaza wapya waliokuwa hawana points kabisa kama plateu utd, kwara utd nao wameingia ila pots za juu huko kuna de agosto na mazembe na wengineo..blah blah blah

View attachment 2389161
Dahhh
We jamaaaa unajua kukeraaaa dadeki
 
Dahhh
We jamaaaa unajua kukeraaaa dadeki
Ndiyo ukweli huo waombe sana wakutane na la passe ya shelisheli otherwise mwezi ujao watachapana viboko sababu wa nigeria plateau, Kwara utd wametolewa na waarabu kwa fitna tu baada ya kuwabutua kule kwao na leo rivers utd anaweza ongezeka kwenye hiyo list
 
Naam, ile sare ya vibonde wa Champions League waliotupwa huko Shirikisho, ambapo inabidi wacheze play offs, inachezeshwa kesho kutwa jijini Cairo saa 10 jioni saa za Kibongo.

Draw hiyo itakuwa na vibonde kama TP Mazembe, La Passe, Young Africans, Kwara UTD, Plateu, Zesco n.k. Hatma ya vibonde hao kuungana na manguli kama Pyrmaids na Berkane itaanza kujulikana 2/11/2022 kwa mechi ya kwanza, kisha marudiano ni tarehe 09/11/2022.

Ikumbukwe vibonde hawa waliofumurushwa Champions League wanakutana wenyewe kwa wenyewe, hawakutani na wale manguli wa Shirikisho.

Pia POTs zitawekwa kutokana na wingi wa alama za CAF, yaani cheo cha huko CAF (ranks). Kwa mfano kuna timu sugu ina alama 0.5, hii itakuwa POT 4 na vilaza kama La Passe ya Shelisheli iliyopigwa 16-2 na Mamelodi ikisalimika sana itakaa POT 3, sababu kuna vilaza wapya waliokuwa hawana alama kabisa kama Plateu UTD. Kwara UTD nao wameingia ila POTs za juu huko kuna De Agosto, Mazembe na wengineo, blah..blah... blah.

***HIVI MODERATORS HUWA MNATUMIA GOOGLE TRANSLATORS KU EDIT HEADINGS ZANGU..NILIANDIKA DRAW YA YANGA NYIE MMEANDIKA SARE YA YANGA..KWELI DRAW YA KUPANGA PLAY OFFS INAITWA SARE??? NIPENI AJIRA BASI YA KU EDIT MAANA NIKO KITAA TU NIMEPIGIKA NA NYIE MNAFANYA MAKOSA YA AJABUAJABU Active BlackBold Boqin Bridger

View attachment 2389161
Upo kitaa umepigika na upo hapa kutuandikia utumbo utumbo. Ngoja tukutane huko huko tutaelewana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
16 zilizotoka champions zitakutanishwa na 16 za shirikisho
Naam, ile DRAW ya vibonde wa Champions League waliotupwa huko Shirikisho, ambapo inabidi wacheze play offs, inachezeshwa kesho kutwa jijini Cairo saa 10 jioni saa za Kibongo.

Draw hiyo itakuwa na vibonde kama TP Mazembe, La Passe, Young Africans, Kwara UTD, Plateu, Zesco n.k. Hatma ya vibonde hao kuungana na manguli kama Pyrmaids na Berkane itaanza kujulikana 2/11/2022 kwa mechi ya kwanza, kisha marudiano ni tarehe 09/11/2022.

Ikumbukwe vibonde hawa waliofumurushwa Champions League wanakutana wenyewe kwa wenyewe, hawakutani na wale manguli wa Shirikisho.

Pia POTs zitawekwa kutokana na wingi wa alama za CAF, yaani cheo cha huko CAF (ranks). Kwa mfano kuna timu sugu ina alama 0.5, hii itakuwa POT 4 na vilaza kama La Passe ya Shelisheli iliyopigwa 16-2 na Mamelodi ikisalimika sana itakaa POT 3, sababu kuna vilaza wapya waliokuwa hawana alama kabisa kama Plateu UTD. Kwara UTD nao wameingia ila POTs za juu huko kuna De Agosto, Mazembe na wengineo, blah..blah... blah.

***HIVI MODERATORS HUWA MNATUMIA GOOGLE TRANSLATORS KU EDIT HEADINGS ZANGU..NILIANDIKA DRAW YA YANGA NYIE MMEANDIKA SARE YA YANGA..KWELI DRAW YA KUPANGA PLAY OFFS INAITWA SARE??? NIPENI AJIRA BASI YA KU EDIT MAANA NIKO KITAA TU NIMEPIGIKA NA NYIE MNAFANYA MAKOSA YA AJABUAJABU Active BlackBold Boqin Bridger

View attachment 2389161
 
Wakereeee wakereee sisi tupo tumekaa paleeee.
 
Nacheka kama mazuri😂
 
ndiyo ukweli huo waombe sana wakutane na la passe ya shelisheli otherwise mwezi ujao watachapana viboko sababu wa nigeria plateau,kwara utd wametolewa na waarabu kwa fitna tu baada ya kuwabutua kule kwao na leo rivers utd anaweza ongezeka kwenye hiyo list
Yaani kwani CAF mafala wawape Zalan halafu tena wawape La Passe

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Mbona kama hesabu inagoma???16 waliotolewa klabu bngwa wakpmbn wao Kwa wao ztabak timu nane,,plus 16 za shrkisho jumla utapata timu 24,,, problem starts,je kla kundi ltakuwa na timu ngapi????
Take note:kundi moja huwa na timu tano tuu..
Makundi huwa manne tuu...
 
Mbona kama hesabu ina goma???16 waliotolewa klabu bngwa wakpmbn wao Kwa wao ztabak timu nane,,plus 16 za shrkisho jumla utapata timu 24,,, problem starts,je kla kundi ltakuwa na timu ngapi????

UKO SAHIHI NILICHEMKA.......wale waliofeli klabu bingwa wanakutanana 16 waliofaulu shirikisho
The additional second preliminary round of the 2022/2023 CAF TotalEnergies Confederation Cup will see the 16 teams that qualified from the second preliminary round of the TotalEnergies CAF Confederation Cup play the 16 teams that lost the second preliminary round of the TotalEnergies CAF Champions League.
 
Then kila kundi litakuwa na timu nne
 
Mbona kama hesabu ina goma???16 waliotolewa klabu bngwa wakpmbn wao Kwa wao ztabak timu nane,,plus 16 za shrkisho jumla utapata timu 24,,, problem starts,je kla kundi ltakuwa na timu ngapi????
Take note:kundi moja huwa na timu tano tuu..
Makundi huwa manne tuu...
Note: Kila timu itakuwa na timu nne
 
Naam, ile DRAW ya vibonde wa Champions League waliotupwa huko Shirikisho, ambapo inabidi wacheze play offs, inachezeshwa kesho kutwa jijini Cairo saa 10 jioni saa za Kibongo.

Draw hiyo itakuwa na vibonde kama TP Mazembe, La Passe, Young Africans, Kwara UTD, Plateu, Zesco n.k. Hatma ya vibonde hao kuungana na manguli kama Pyrmaids na Berkane itaanza kujulikana 2/11/2022 kwa mechi ya kwanza, kisha marudiano ni tarehe 09/11/2022.

Ikumbukwe vibonde hawa waliofumurushwa Champions League wanakutana wenyewe kwa wenyewe, hawakutani na wale manguli wa Shirikisho.

Pia POTs zitawekwa kutokana na wingi wa alama za CAF, yaani cheo cha huko CAF (ranks). Kwa mfano kuna timu sugu ina alama 0.5, hii itakuwa POT 4 na vilaza kama La Passe ya Shelisheli iliyopigwa 16-2 na Mamelodi ikisalimika sana itakaa POT 3, sababu kuna vilaza wapya waliokuwa hawana alama kabisa kama Plateu UTD. Kwara UTD nao wameingia ila POTs za juu huko kuna De Agosto, Mazembe na wengineo, blah..blah... blah.

MASAHIHISHO: VIBONDE 16 WATAKUTANA NA 16 BORA WALIOFUZU SHIRIKISHO ILA POTS ZITAPANGWA KUTOKANA NA UBORA WA TEAMS YAANI POINTS ZA CAF SO KAMA TEAM YAKO INA 0.5 POINTS IKIANGUKIA POT 3 USISHANGAE IKAKUTANA NA BERKANE ***

View attachment 2389161
Hao CAF kiherehere kweli..si wasubiri mshono upoe
 
Back
Top Bottom