Kivyovyote itakavyo kuwa tatizo kubwa la Simba msimu ujao,ni safu ya ushambuliaji.
Kwa jinsi kikosi kilivyo hatutarajii goli za kutosha kwenye michezo ijayo goli 0-2 inatarajiwa kutokea mara nyingi ambapo kiwango hicho kitasababisha tutoke sare nyingi na ndicho kitatukosesha ubingwa
Sare zitakuwa sio chini ya 7
Timu ina Clotus Chama, Ibrahim Doumbia (Doumbia OG kwa maelezo ya Ahmed Ally), Libase Gueye, Inno Loemba, Oura, na mastaa kibao! Unaanzaje kuitabiria sare badala ya magoli ya tiktak?