DRC iwaangukie "mabeberu" wakubwa wa Magharibi kumaliza vita nchini kwake, mabeberu wanahitaji kubembelezwa kidogo tu na kuheshimiwa kumaliza mgogoro

DRC iwaangukie "mabeberu" wakubwa wa Magharibi kumaliza vita nchini kwake, mabeberu wanahitaji kubembelezwa kidogo tu na kuheshimiwa kumaliza mgogoro

Serikali ya DRC ni ya kizalendo sana kuliko zote Africa kiasi cha kuzuia madini yake kupatikana kwa amani kwa mikataba hadi mabeberu wakaanzisha makundi ya uasi ?
Huo umagharibi ulio kujaa kichwani usikufanye ukajitoa ufahamu.
Uhitaji elimu ya chuo kikuu kujua kuwa kuna wenye nguvu wako nyuma ya m23Rwanda ni kinyago tu.

Si mara moja wala mbili mashirika ya haki za binadamu yamekuwa yakiyashutumu makampuni ya kimarekani ikiwemo Apple kuwa ndo wanunuzi wa kubwa wa madini yanayo chimbwa kiharamu na makundi ya wahalifu na waasi.
 
Hata Tanzania ni wanunuzi wa iPhone na iPad za Apple.
 
Nilipata kusikia kwenye habari dw, kabila alitengeneza ushirikiano wa kiulinzi na urusi.
Alipoingia tshisekedi akavunja na kuwasogelea zaidi US.
Hata hivyo hawajamsaidia sana.
Ameanzisha tena ushirikiano na urusi hivi karibuni.
 
Dictator Trump ameshawaweka marafiki zake(oligarchs) Peter Pham na Baba mkwe wake Boulos. Peter Pham ambaye ni Special envoy wa Nchi za kusini mwa sahara na maziwa makuu.

Huyo Peter Pham ana mahusiano ya Karibu na Tshekedi.

Sio hivyo tu wakati wa awamu ya kwanza ya Dictator Trump.

Peter Pham aliwezesha maraisi wawili tu kutoka Africa, kukutana na Dictator Trump, nao ni Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta na Tshekedi wa Kongo. Hivyo basi naweza kusema Serikali ya Trump ina enjoy mahusiano maalum na Tshekedi qa kongo kupitia huyo Peter Pham ambaye ana mahusiano ya karibu na makampuni makubwa ya Uchimbaji madini ya rare earth, inasadikika ana fedha zake huko.

Sasa sijui iwadondokeaje na kuwasujudu ili kumaliza Vita.

Ieleweke kuna Nchi nyingi zilizopo na makampuni yao yaliyoidhinishwa na serikali zao, including UAE huko Kongo ambao licha ya Vita, and according to Dictator Trump mwenyewe "they are making billions" hivyo basi kusema kwamba mabeberu wa magharibi hawafaidiki na vita hivyo co sahihi, the opposite is the Truth. Wakongo ndio hawafaidiki.
 
Hata Yesu walimuita kichaa anawazimu maana aliongea vitu vipo juu ya uwezo wao wa kufikiri as a result akawaacha na kuchagua taifa lingine.
Ni shida kubwa sana kutokujua Elimu ya Mungu hakuna anayeweza kukusaidia and it becomes a nightmare
 
Congo ikiwa na amani Rasilimali wanazoziiba hao mabeberu watazipataje Congo haiwezi kuja kuwa na amani mpaka yesu arudi, maana kuisha kwa rasilimali zake haziwezi kuisha...
 
Vita vya muda mrefu na ukosefu wa amani mashariki mwa Congo(DRC) nyakati hizi kwa kiasi kikubwa vinachangiwa na udhaifu wa dola ya DRC kudhibiti nchi pamoja biashara ya madini adimu mbalilmbali yenye mahitaji makubwa duniani kwa sasa. Baada ya Waafrika wenyewe kuushindwa huo mgogoro bila shaka mwenye uvumbuzi wa haya matatizo aliyebaki ni "beberu" Marekani na wenzake wa Ulaya kwa sababu wao ndio wanaoshikilia mpini wa mfumo wa fedha ulimwenguni kwa sasa na ndio wenye uwezo ya kumdhibiti jirani au majirani wanaodaiwa kujinufaisha pia na huo mgogoro.

DRC iwaangukie hawa mabeberu kuiponya nchi yao. SADC, EAC na AU watulie tu wasitoe milio ya kuingiliwa na mabeberu wazee wa kazi watakapoingia mzigoni, zaidi wawape ushirikiano mkamilifu. Pia Wazalendo uchwara waache kelele za kusema West ndio wanawapa silaha waasi kwa sababu ni kuwavunjia heshima "mabeberu" wenye ufunguo wa mgogoro wakati hata hizo tuhuma zenyewe zinaweza kuwa sio za kweli au hazithibitishiki.

Wanachohitaji mabeberu ni sabubu nzito za maslahi ili kuhusika kikamilifu kuumaliza huo mgogoro. DRC wao watalipia gharama kwa kuwapa mabeberu mikataba exclusive na minono ya miaka 30 ya madini adimu na muhimu, faida igawanywe pasu kwa pasu 50/50 kati ya Congo na Mabeberu.
Hivi unamjua Beberu?Wengi hawaelewi 50/50,yaani kwao win win hawataki kuisikia labda wao wapate 90,DRC 10.Ndio maana nchi nyingi za Afrika zina madini ila haziwasaidii raia wake na nchi.Sababu ya ubabe na wizi kutoka nchi Magharibi.
 
Mbona madini ya Botswana yamewasaidia raia wake??
 
Hiyo 24% share ni makampuni ya uwekezaji ya nje kuwamilikisha wazawa pale ambapo serikali haina interest katika mradi fulani wa madini. Botswana ina madini ya aina nyingi lakini almasi ndio iko kwa wingi zaidi na ndio serikali ina interest nayo zaidi, sheria yao ya madini inasema serikali ina haki ya kuchukua 15% ya share kwenye mradi wowote wa madini lakini kwenye almasi inaweza kuchukua hisa zaidi ya hapo kulingana na makubaliano kati ya serikali na mwekezaji. Walichofanya Botswana kwenye almasi ni kuunda kampuni ya Debswana inayomilikiwa na serikali kwa 50% na De beers group kwa 50%.
 
Hamna kitu kama hiko hakipo 50/50 kwa pebari hamna na nimekuwekea Link ya chombo cha habari chenye heshima duniani kama labda una reference ya hiyo 50/50 uweke hapa.Ila kwa mapepari msamiati win win haupo kuchwani mwao.
 
Umeweka link lakini huielewi hiyo habari na wala huijui Debswana.
 
Kama alivyo fanya wenu?
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Umeweka link lakini huielewi hiyo habari na wala huijui Debswana.
Uzuri imeonesha kile nilicho kiongea.

Niwekee ya kwako inayo onesha hiyo 50/50,tuongee kwa reference.
 
Back
Top Bottom